Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanne wanyakua zawadi ya Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti

_RAF5442

Meneja Kasoko wa Mwananchi Communications Ltd (MCL) wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen  na Mwanaspoti, Bernard Mukasa akizungumza kwa njia ya simu katika ofisi za MCL  jijini Dar es Salaam jana na mmoja wa washindi wa bahati nasibu ya Shinda Ki-Brazil ambaye ni fundi umeme, Issa Rashid Ndingo mkazi wa Kigogo aliyeshinda king’amuzi cha DSTV. Bahati nasibu hiyo inaendeshwa na gazeti la Mwanaspoti. Kushoto ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Michezo nchini, Mrisho Millao.(Picha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Washindi Promosheni Shinda Ki-Brazil na Mwanaspoti wazawadiwa

Washindi wa bahatinasibu ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,Issa Rashid (wapili kushoto) na Michael Msumba (wapili kulia) wakipokea zawazi zao kutoka kwa Afisa Uhusiano wa Mult Choice ( Dstv ) Barbara Kambogi (kulia) na Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi,Edward Uisso. Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi,Edward Uisso (wapili kushoto) akiongea na Mshindi wa promosheni ya Shinda Ki-Brazili na Mwanaspoti,wakati wa kuchezesha droo ya wiki ya pili, kulia ni Afisa Uhusiano wa Mult Choice...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA SHINDA MAHELA AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE MBEYA

Mshindi wa Dinner Set katika Promosheni ya Shinda Mahela na Gazeti la Championi, Justin Francis (kulia), akikabidhiwa zawadi zake na Wakala wa Global, Mohammed Lalika. Justin Francis akikagua zawadi…

 

10 years ago

Michuzi

Washindi 62 wamejinyakulia zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya “shinda na kabumbu” ya Vodacom

Jumla ya washindi 62 mpaka sasa wamejishindia zawadi ya shilingi 50,000 kila mmoja na wateja wawili wakubwa wa wiki wamejishindia 1,000,000 kila mmoja katika droo ya kwanza na ya pili ya promosheni ya “SHINDA NA KABUMBU” iliyozinduliwa hivi karibuni ikiwa inawalenga wapenzi wa soka.
Washindi wa shilingi 1,000,000/-katika droo ya kwanza ni Salome Mayoba mkazi wa Kahama,na mshindi wa droo ya pili ni na Raymond Mwegoha mkazi wa Dar es Salaam ambapo washindi wa shilingi 50,000/- wametangazwa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA SHINDANO LA 'TUMA PESA NA SIMBANKING SHINDA PASSO'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Bodi, Martin Mmari.Zawadi za washindi.KWA PICHA ZAIDI ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

GPL

WASHINDI 62 WAMEJINYAKULIA ZAWADI MBALIMBALI KUPITIA PROMOSHENI YA “SHINDA NA KABUMBU” YA VODACOM‏

Humudini Abdulhussen Ofisa Mwandamizi wa Bodi ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha Tanzania (kushoto) akihakiki moja ya namba za simu anazoonyeshwa kwenye kompyuta mpakato na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) na Ofisa Masoko wa kampuni hiyo Prestin Lyatonga (kulia) wakati wa droo ya pili ya shindano la “Shinda na Kabumbu” inayowawezesha wadau wa soka na wateja wa kampuni hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’

 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina ya Passo, Tumaini Mwakajwanga aliyejishindia kupitia promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa gari yake aina ya Passo na uongozi wa benki ya CRDB. 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

WASHINDI WA CHEMSHA BONGO YA BRAZIL WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatano, Phillip Nkini (kulia) akimkabidhi Said Muhammed Muba zawadi yake ya dekoda na dishi. Ofisa Mauzo wa Azam TV, Shah Seffu Mrisho (kulia)  akimkabidhi Allen John Muhuma zawadi ya TV na dekoda.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mavazi ya Mwanaspoti Muislamu yazua zogo

Mavazi ya mwanasarakasi Muislamu wa kike wa Malaysia yamekashifiwa kwa kuvalia nguo zilizombana na kuonyesha viungo vyake vya mwili.

 

9 years ago

Vijimambo

Mariado wanyakua ubingwa Airtel Rising Stars

 Katibu wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Arusha Adam Brown akikabidhi kombe la ubingwa kwa nahodha wa timu ya Mariado Munira Goda baada ya timu yake kuibuka bingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, jana jijini ArushaTimu ya Mariado wakishangalia ubingwa kwa staili ya aina yake baada ya kuibuka mabingwa wa michuano ya Airtel Rising Star, Agosti 20 jana Arusha,
Na mwandishi wetu.Timu ya wasichana ya Mariado imefanikiwa kunyakua ubingwa wa mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani