Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Amini: Sitokaa kimya tena kuanzia sasa

Amini Cover Furaha

Amini amewahakikisha mashabiki wake kuwa hatokaa tena kimya kama zamani kuanzia sasa.

Amini Cover Furaha

Hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya uitwao Furaha.

“Unajua nashukuru kwanza mashabiki wangu wamepokea vizuri huu ujio wangu na nimefanya interview ile siku ambayo wimbo umetoka mikoa 23 ya Tanzania. Huko nyuma haikuwahi kutokea kwangu. Hii inaonyesha jinsi gani sasa hivi muziki umekuwa. Na sasa hivi nawaahidi mashabiki wangu kuwa sitokaa kimya sana. Itakuwa ni ngoma juu ya ngoma tu,” Amini ameiambia...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kweli NEC na ZEC Itaibeba Tena CCM Kwakuiba Kura za Watanzania??

By Daniel Mjema, Mwananchi Taveta, Kenya. Rais Jakaya Kikwete amemweleza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM), kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25. Rais Kenyatta kwa upande wake bila kutaja CCM, alisema […]

The post Kweli NEC na ZEC Itaibeba Tena CCM Kwakuiba Kura za Watanzania?? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

MATUKIO CHUMA : ‘Nilimwezesha Sitti awe na furaha tena’

Kila mtu huja duniani kwa lengo na maana maalum. Ni jukumu la kila mmoja kutambua nini afanye katika kipindi anachokuwapo duniani.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Sina tena rafiki CCM

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema hana rafiki yeyote CCM kwani yeye tayari alishapakia basi la Chadema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mola atujalie rais ajaye awe kiongozi asiwe mtawala

RAIS wangu, waliosoma kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu ukurasa wa 96 imeandikwa; ‘Kijana mmoja mwenye hasira akamuuliza, sasa mheshimiwa unakwenda kwenu, ule uzalendo uliokuwa unaupigia baragumu unamwachia nani? Aliyekuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nimebaini miili yetu haina tena thamani-2

Nilipoandika wiki iliyopita kwamba kumbe miili yetu haina thamani tena, kwa hakika sikuwa natania.

 

10 years ago

Vijimambo

Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na mwigizaji lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matizao na kuwashukia baadhi ya marafiki zake ambao huwa wao pamoja nae wakati wa raha tu, ila wakataki washida wote hupoatea. Le mutuz alifunguka“Kwenye shida ndio utajua marafiki wa kweli na le super gademu mburulazzz ..nilipotangaza my House warming Party yanapiga simu kila dakika kuomba mualiko lakini nimesema Mama yangu anaumwa hamna...

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO HAYA YA LOWASA YAKIAMISHIWA KWENYE MITO YETU TANZANIA HAKUTAKUWA NA SHIDA YA UMEME TENA

Ni asubuhi tulivu kabisa ya Jumatatu tarehe 10/8/2015.Ni siku ya kihistoria katika Taifa letu.Hii ni kwa sababu Kamanda mpambanaji na asiyechoka mzee wa Maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa akiwa na mgombea mwenza Juma Duni Haji watachukua rasmi fomu za kugombea Urais kupitia UKAWA katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Timu ya wanahabari wa JF tayari iko hapa buguruni katika ofisi kuu za CUF ili kuwaletea kila kitakachojiri.Tunatarajia maanadamano haya makubwa yataanza saa 3 asubuhi hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani