Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nimebaini miili yetu haina tena thamani-2

Nilipoandika wiki iliyopita kwamba kumbe miili yetu haina thamani tena, kwa hakika sikuwa natania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

5 years ago

Michuzi

Mbaga: Fedha haina thamani kama haijawekezwa, UTT yatoa fursa


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa UTT AMIS, Simon Migangala.

 UTAJIRI sio fedha ambazo mtu anakusanya bali ni fedha zinazowekwa na kufanya kazi. Tamaduni zetu zimeifanya jamii kubwa kuhifadhi fedha ndani katika vyungu, magodoro, vibubu. Uwekaji akiba na uwekezaji ni dhana mbili tofauti. Uwekaji akiba ni mzuri lakini bila kuziwekeza ni bure. Ili uwe muwekaji akiba mzuri, unapaswa kuwa na nidhamu ya kujizoesha muda mrefu.
Nchini Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI :Tuipe thamani soka yetu izae matunda

Mwezi mmoja kabla ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kuanza rasmi msimu mpya, bado wapenzi na mashabiki wameendelea kushuhudia usajili ambao umekuwa ukifanywa na klabu 16 zinazotarajiwa kushiriki ligi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Liberia haina Ebola tena

Shirika la Afya Duniani, WHO, limetangaza rasmi kwamba hakuna tena Ebola nchini Liberia.

 

5 years ago

Raia Mwema

Kwanini Chipukizi haina maana tena

KIAPO CHA CHIPUKIZI WA ROMANIA

Ezekiel Kamwaga

 

5 years ago

Michuzi

MAZIKO YA SHEIKH KILEMILE YATUFANYE TUJITAFAKARI THAMANI YETU KWA BINADAMU WENGINE

Charles James, Michuzi TVNILIITAZAMA jana jioni, nikaitazama tena usiku, kisha nikaitazama mara nyingi mfululizo. Sijachoka kuitazama hata leo nimeamka naitazama tena. Nadhani nitaitazama mara nyingi kwa muda mrefu.
Wakati nikiitazama machozi yalikua yakinitoka. Imani yangu ilikua ikisulubika, nikijitafakari kama mimi ni binadamu mwenye thamani mbele ya wanadamu wengi. 
Video niliyokua naitazama ni ya Maziko ya mmoja wa Masheikh mashuhuri na Mwanazuoni nguli wa Dini ya Kiislamu, Sheikh...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Thamani ya Yuan yapunguzwa tena

Uchina kwa mara nyengine imepunguza thamani ya sarafu yake, Yuan, ikilinganishwa na dola, kwa siku ya pili mfululizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani