Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUNGU AZIDI KUILINDA AMANI YA NCHI YETU YA TANZANIA NASI KWA PAMOJA TUIONE THAMANI YAKE

wimbo wa Tanzania by Milca Kakete

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

Jeshi la Polisi liendelee kuitetea, kuilinda amani ya Tanzania

Mwaka huu mpya wa 2015 Watanzania waishio jijini Dar es Salaam  wameuanza vibaya kwa kutikiswa na kikundi cha Panya Road. Wataalamu wanasema  mwanzo mbaya huashiria mwisho mbaya.  Januari Mosi ya kila mwaka duniani husherehekewa Siku ya Amani Dunia. Pia, amani hii ni ile inayotoka kwa Mungu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuzidi kuijenga Tanzania yetu kwa amani na usalama

Kufunga mwaka na kufungua mwaka ni sikukuu zinazojirudia kila mwaka. Kwa njia moja ama nyingine hakuna jinsi ya kukwepa kurudia maneno yaleyale ya kila mwaka.

 

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungungumzwa katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu ulioanza leo ambao utamalizika kesho. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo asubuhi.  Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.

Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.

Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.

Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania  aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema  watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.

Aidha katika...

 

10 years ago

StarTV

Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.

Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.

Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...

 

11 years ago

Michuzi

MUALIKO WA MAULIDI YA KUKUMBUKA MAZAZI YA MTUME MUHAMMAD REHMA ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE JUU YAKE NA AMANI

Bismillahi Rahmani Rahim
Ungozi wa Madrasatul Amini ya Marhum Sheikh Nassor Amran Iliopo kwa Ali Maua A Chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mudiru Alhaj Sheikh Mohammad Nassor Unapenda Kukualika na Kuwakaribisha Wadau wote na Wapenzi Wa Mtume Muhammmad Rehma za Mwenyezi Mungu zimshukie Juu yake Shughuli hii Itafanyika hapa MADRASANI KWETU KWA RATIBA IFUATAYO SIKU YA IJUMAA TAREHE 30 / 5 / 2014 Kuanzia Saa 4 Asubuhi Maonyesho ya Wanafunzi na Baada ya Swala ya ISHAAI MAULIDI YA JUMUIA ,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani