Jeshi la Polisi liendelee kuitetea, kuilinda amani ya Tanzania
Mwaka huu mpya wa 2015 Watanzania waishio jijini Dar es Salaam wameuanza vibaya kwa kutikiswa na kikundi cha Panya Road. Wataalamu wanasema mwanzo mbaya huashiria mwisho mbaya. Januari Mosi ya kila mwaka duniani husherehekewa Siku ya Amani Dunia. Pia, amani hii ni ile inayotoka kwa Mungu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Oct
MUNGU AZIDI KUILINDA AMANI YA NCHI YETU YA TANZANIA NASI KWA PAMOJA TUIONE THAMANI YAKE
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.
Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...
9 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.
Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.
Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.
Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.
Aidha katika...
10 years ago
VijimamboRais Mstaafu asisitiza haja ya kuilinda na kuiendeleza amani ilyopo nchini
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--87KuC9ns7g/VfPRhAq_AhI/AAAAAAAH4JQ/hn_wvHAGBaU/s72-c/polisi.jpg)
JESHI LA POLISI LAHIMIZA AMANI NA MSHIKAMANO KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU WA 25.10.2015
![](http://3.bp.blogspot.com/--87KuC9ns7g/VfPRhAq_AhI/AAAAAAAH4JQ/hn_wvHAGBaU/s200/polisi.jpg)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LAHIMIZA AMANI NA MSHIKAMANO KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU WA 25.10.2015 Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Suleiman Kova amewakumbusha watanzania hususani wananchi wanaoishi jijini Dar es Salaam kukumbuka wajibu wao wa kudumisha amani wakati wote wa mchakato wa uchaguzi mkuu.
mchakato huo ni pamoja na wakati wa...
9 years ago
MichuziVIONGOZI WA DINI NA WASISA WAUNGANA NA JESHI LA POLISI HAPA NCHINI KUJADILI AMANI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-TxHdkB5Oo0E/VCQbF4cySyI/AAAAAAAGluk/6jxWiXBsbtE/s72-c/ddm.jpg)
JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAMSAKA ANAYESAMBAZA VIPEPERUSHI VINAVYOTISHIA NA KUHAMASISHA UVUNJIFU WA AMANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-TxHdkB5Oo0E/VCQbF4cySyI/AAAAAAAGluk/6jxWiXBsbtE/s1600/ddm.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amesema tarehe 25/09/2014 alfajiri vimeokotwa vipeperushi maeneo mbalimbali mjini Dodoma vyenye ujumbe ufuatao ONYO – DODOMA SI MAHALI PA KUFUGA WEZI WA FEDHA ZA UMMA. UTAKAYEINGIA BUNGENI KUANZIA KESHO, YATAKAYOKUPATA UTAJUTA.
Kamanda MISIME amesema tumeendelea kupokea taarifa za watu wanaodaiwa kuandaa vipeperushi hivyo na tunafanyia kazi ili tuweze...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pt9nsq0us3I/XsisLu6bYuI/AAAAAAAEHTM/iwG2Gn0qp5UwwfPRG-PZQ0Om5r0d92ChwCLcBGAsYHQ/s72-c/SHANA-NA-LEMA.jpg)
JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-pt9nsq0us3I/XsisLu6bYuI/AAAAAAAEHTM/iwG2Gn0qp5UwwfPRG-PZQ0Om5r0d92ChwCLcBGAsYHQ/s320/SHANA-NA-LEMA.jpg)
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-He6qpWS2SFg/VVSa0RogBqI/AAAAAAAHXSE/H8y9ftjHeQw/s72-c/Kamanda%2Bwa%2BPolisi%2BMkoa%2Bwa%2BDodoma%2BDAVID%2BMISIME%2B-%2BSACP%2Bakitoa%2Belimu%2Bkatika%2Bmkutano%2Bhuo.png)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma lawataka Viongozi kuwaelimisha wananchi juu ya matishio na viashilia vya uvunjifu wa sheria na amani
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha wananchi wanaowaongoza na wanaofanya kazi chini yao juu ya matishio na viashilia vya uvunjifu wa sheria na amani ili wote waweze kuwa na uelewa wa pamoja kuvibaini, kuvizuia na kuvitolea taarifa kwa vyombo vya dola waweze kuwakamata wahusika na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.
Ameyasema hayo...