Rais Mstaafu asisitiza haja ya kuilinda na kuiendeleza amani ilyopo nchini
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na waislamu mbali mbali wakati akiwasili “Masjid Imani” iliyoko Mbweni kwa ajili ya kufutari.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, wakisalimiana na waislamu mbali mbali katika “Masjid Imani” iliyoko Mbweni walipofika kwa ajili ya kufutari.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaafu wa Zanzibar...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV02 Nov
Watanzania wahimizwa kuendelea kuilinda misingi ya amani na utulivu.
Muhubiri wa kimataifa dokta Egon Falk amesema amani iliyopo nchini Tanzania itaendelea kuwepo miaka mingi ijayo kutokana na misingi imara iliyowekwa.
Amesema misingi hiyo ni ile inayopiga vita ukabila na udini ambayo imewekwa na viongozi wazalendo wenye nia njema na taifa hili.
Katika maombi yake ya kuombea amani nchi ya Tanzania aliyoyafamya katika kijiji cha Gitting wilayani Hanang mkoani Manyara, dkt Falk anasema watanzania wana kila sababu ya kujivunia utulivu huo.
Aidha katika...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Jeshi la Polisi liendelee kuitetea, kuilinda amani ya Tanzania
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.
Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...
11 years ago
Vijimambo17 Oct
MUNGU AZIDI KUILINDA AMANI YA NCHI YETU YA TANZANIA NASI KWA PAMOJA TUIONE THAMANI YAKE
10 years ago
Michuzi.jpg)
RAIS MSTAAFU MWINYI AFUNGA MKUTANO WA BODI YA MAKANDARASI NCHINI (CRB)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
RAIS MSTAAFU ALHAJ DKT MWINYI AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA
Katika ziara hiyo, Rais Mwinyi pia alipata fursa ya kutembelea Ubalozi wetu na kupata chakula kilichoandaliwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Jenerali (Mstaafu) AbdulRahman Shimbo pamoja na Mama Shimbo.

10 years ago
Michuzi
RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA NCHINI

10 years ago
Habarileo10 Sep
JK asisitiza uchaguzi wa amani
TANZANIA imeendelea kusisitiza kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi, Madiwani na Masheha unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu utafanyika kwa amani na utulivu ambapo Watanzania watakuwa na uhuru wa kupiga kura bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.
10 years ago
Habarileo09 Sep
Migiro asisitiza amani
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro, amewataka Watanzania kukataa kugawanywa kwa misingi ya dini na itikadi za vyama vya siasa, badala yake waendelee kulinda amani taifa livuke salama katika uchaguzi mkuu.