MUALIKO WA MAULIDI YA KUKUMBUKA MAZAZI YA MTUME MUHAMMAD REHMA ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE JUU YAKE NA AMANI
.jpg)
Bismillahi Rahmani Rahim
Ungozi wa Madrasatul Amini ya Marhum Sheikh Nassor Amran Iliopo kwa Ali Maua A Chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mudiru Alhaj Sheikh Mohammad Nassor Unapenda Kukualika na Kuwakaribisha Wadau wote na Wapenzi Wa Mtume Muhammmad Rehma za Mwenyezi Mungu zimshukie Juu yake Shughuli hii Itafanyika hapa MADRASANI KWETU KWA RATIBA IFUATAYO SIKU YA IJUMAA TAREHE 30 / 5 / 2014 Kuanzia Saa 4 Asubuhi Maonyesho ya Wanafunzi na Baada ya Swala ya ISHAAI MAULIDI YA JUMUIA ,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
SHEREHE YA MAULIDI MAKUU YA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) ILIVYOFANA VISIWANI ZANZIBAR


11 years ago
Michuzi14 Feb
TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII

Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha wote kwenye sherehe za MAULID . Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili Hii tarehe 16 Februari 2014. Claridge Local Park 11901 Claridge Rd, Wheaton-Glenmont, MD 20902. 3:00 PM - 8:00PM WOTE MNAKARIBISHWA
10 years ago
Vijimambo15 Nov
11 years ago
GPL
MAULIDI YA KUZALIWA BWANA MTUME (S.A.W.) ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo
BALOZI SEIF AHUDHURIA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (SAW) KISIWANI PEMBA


10 years ago
GPL
KATUNI YA MTUME MUHAMMAD KUCHAPISHWA KESHO
10 years ago
Michuzi
SHEREHE ZA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD S.A.W. ZANZIBAR

10 years ago
GPL
WAISLAMU DAR WAMKUMBUKA MJUKUU WA MTUME MUHAMMAD (SAW)
10 years ago
GPL21 Dec