Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD S.A.W. ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif,Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) Waziri wa katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary akifuataiwa na makamo wa Pili wa Rais Alhaj Seif Ali Iddi wakisimaa kwa pamoja na waislamu wengine na Viongozi wakati wa Kumswalia Bwana Mtume Muhammad S.A.W.katika sherehe ya Maulid iliyofanyika jana viwanja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba na kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Ndugu Mwanajuma Majid Abdalla tarehe 20.2.2015. Mama Salma alialikwa Pemba kama Mgeni Rasmi kwenye sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) iliyoandaliwa na Al-Madrasat Jabal- Hiraa. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba kwa ziara ya kikazi ya...

 

9 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAULIDI MAKUU YA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) ILIVYOFANA VISIWANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

 

10 years ago

Vijimambo

WAISLAMU TANZANIA WAUNGANA NA WENZAO DUNIANI KUSHEREHEKEA MAULID YA MTUME MUHAMMAD (SAW)

Wanafunzi wa Madrasatul Dhuriyatul Islamia kutoka Kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja wakisoma Qaswida wakati wa sherehe za Maulid Matukufu ya kuzaliwa bwana Mtume Muhammad (S.A.W.) zilizofanyika jana katika viwanja vya Maisra Suleiman Mjini Unguja mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,Ustadh salum Rashid kutoka Amani Wilaya ya Mjini Unguja akisoma Mlango wa Barzanji(4) wakati wa sherehe za Maulid Matukufu ya kuzaliwa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAULID YA MTUME MUHAMAD (SAW) YAFANA JIJINI DAR

 Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Viongozi mbali mbali wa Kiislam wakijumuika pamoja na Waislam wengine kwenye Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

MAULIDI YA KUZALIWA BWANA MTUME (S.A.W.) ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.)  katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja  palipofanyika Maulid hayo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

GPL

KATUNI YA MTUME MUHAMMAD KUCHAPISHWA KESHO

Gazeti la Vibonzo la Charlie Hebdo. Gazeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la Ufaransa toleo la kesho Jumatano linatarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Muhammad katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote yameshasamehewa" Walioona kibonzo hicho wanasema Mtume Muhammad ataonekana akishikilia bango lililoandikwa "Je suis Charlie" maneno yenye tafsiri "Mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano,...

 

10 years ago

GPL

WAISLAMU DAR WAMKUMBUKA MJUKUU WA MTUME MUHAMMAD (SAW)

Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakati wa matembezi hayo. WAISLAMU jijini Dar es Salaam leo wamefanya matembezi ya amani ya kumkumbuka mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) aliyekuwa akijulikana kwa jina la Imamu Hussein Bin Ali Bin Abutwalib  aliyeuawa katika nchi ya Iraq kwenye Mji wa Karbala kwa kutetea haki. Matembezi hayo yameanzia Ilala Boma kuelekea Uwanja wa Pipo Kigogo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani