Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAISLAMU DAR WAMKUMBUKA MJUKUU WA MTUME MUHAMMAD (SAW)

Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakati wa matembezi hayo. WAISLAMU jijini Dar es Salaam leo wamefanya matembezi ya amani ya kumkumbuka mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) aliyekuwa akijulikana kwa jina la Imamu Hussein Bin Ali Bin Abutwalib  aliyeuawa katika nchi ya Iraq kwenye Mji wa Karbala kwa kutetea haki. Matembezi hayo yameanzia Ilala Boma kuelekea Uwanja wa Pipo Kigogo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAISLAMU DAR WAFANYA MATEMBEZI KUMUENZI MJUKUU WA MTUME

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika matembezi ya amani. Baadhi ya mabango yakiwa na ujumbe…

 

10 years ago

Vijimambo

WAISLAMU TANZANIA WAUNGANA NA WENZAO DUNIANI KUSHEREHEKEA MAULID YA MTUME MUHAMMAD (SAW)

Wanafunzi wa Madrasatul Dhuriyatul Islamia kutoka Kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja wakisoma Qaswida wakati wa sherehe za Maulid Matukufu ya kuzaliwa bwana Mtume Muhammad (S.A.W.) zilizofanyika jana katika viwanja vya Maisra Suleiman Mjini Unguja mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,Ustadh salum Rashid kutoka Amani Wilaya ya Mjini Unguja akisoma Mlango wa Barzanji(4) wakati wa sherehe za Maulid Matukufu ya kuzaliwa...

 

10 years ago

GPL

KATUNI YA MTUME MUHAMMAD KUCHAPISHWA KESHO

Gazeti la Vibonzo la Charlie Hebdo. Gazeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la Ufaransa toleo la kesho Jumatano linatarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Muhammad katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote yameshasamehewa" Walioona kibonzo hicho wanasema Mtume Muhammad ataonekana akishikilia bango lililoandikwa "Je suis Charlie" maneno yenye tafsiri "Mimi ni Charlie, yaliyotumika kuonyesha mshikamano,...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD S.A.W. ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif,Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) Waziri wa katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary akifuataiwa na makamo wa Pili wa Rais Alhaj Seif Ali Iddi wakisimaa kwa pamoja na waislamu wengine na Viongozi wakati wa Kumswalia Bwana Mtume Muhammad S.A.W.katika sherehe ya Maulid iliyofanyika jana viwanja...

 

9 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAULIDI MAKUU YA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) ILIVYOFANA VISIWANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

 

11 years ago

Michuzi

TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII


Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha  wote kwenye  sherehe za MAULID .  Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili  Hii tarehe 16 Februari 2014.  Claridge Local Park  11901 Claridge Rd, Wheaton-Glenmont, MD 20902.  3:00 PM - 8:00PM WOTE MNAKARIBISHWA

 

11 years ago

Michuzi

MUALIKO WA MAULIDI YA KUKUMBUKA MAZAZI YA MTUME MUHAMMAD REHMA ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE JUU YAKE NA AMANI

Bismillahi Rahmani Rahim
Ungozi wa Madrasatul Amini ya Marhum Sheikh Nassor Amran Iliopo kwa Ali Maua A Chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mudiru Alhaj Sheikh Mohammad Nassor Unapenda Kukualika na Kuwakaribisha Wadau wote na Wapenzi Wa Mtume Muhammmad Rehma za Mwenyezi Mungu zimshukie Juu yake Shughuli hii Itafanyika hapa MADRASANI KWETU KWA RATIBA IFUATAYO SIKU YA IJUMAA TAREHE 30 / 5 / 2014 Kuanzia Saa 4 Asubuhi Maonyesho ya Wanafunzi na Baada ya Swala ya ISHAAI MAULIDI YA JUMUIA ,...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba na kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Ndugu Mwanajuma Majid Abdalla tarehe 20.2.2015. Mama Salma alialikwa Pemba kama Mgeni Rasmi kwenye sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) iliyoandaliwa na Al-Madrasat Jabal- Hiraa. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba kwa ziara ya kikazi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani