Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAULIDI YA KUZALIWA BWANA MTUME (S.A.W.) ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.)  katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja  palipofanyika Maulid hayo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AHUDHURIA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (SAW) KISIWANI PEMBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia na kutoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam waliohudhuria maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yalioandaliwa na Taasisi ya Samael Academy yaliofanyika katika Msikiti wa Gombani Chakechake Kisiwani Pemba.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia na kutoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam waliohudhuria maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yalioandaliwa na Taasisi ya Samael...

 

9 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAULIDI MAKUU YA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) ILIVYOFANA VISIWANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD S.A.W. ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif,Kadhi Mkuu wa zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) Waziri wa katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary akifuataiwa na makamo wa Pili wa Rais Alhaj Seif Ali Iddi wakisimaa kwa pamoja na waislamu wengine na Viongozi wakati wa Kumswalia Bwana Mtume Muhammad S.A.W.katika sherehe ya Maulid iliyofanyika jana viwanja...

 

11 years ago

Michuzi

TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII


Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha  wote kwenye  sherehe za MAULID .  Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili  Hii tarehe 16 Februari 2014.  Claridge Local Park  11901 Claridge Rd, Wheaton-Glenmont, MD 20902.  3:00 PM - 8:00PM WOTE MNAKARIBISHWA

 

11 years ago

Michuzi

MUALIKO WA MAULIDI YA KUKUMBUKA MAZAZI YA MTUME MUHAMMAD REHMA ZA MWENYEZI MUNGU ZIMSHUKIE JUU YAKE NA AMANI

Bismillahi Rahmani Rahim
Ungozi wa Madrasatul Amini ya Marhum Sheikh Nassor Amran Iliopo kwa Ali Maua A Chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mudiru Alhaj Sheikh Mohammad Nassor Unapenda Kukualika na Kuwakaribisha Wadau wote na Wapenzi Wa Mtume Muhammmad Rehma za Mwenyezi Mungu zimshukie Juu yake Shughuli hii Itafanyika hapa MADRASANI KWETU KWA RATIBA IFUATAYO SIKU YA IJUMAA TAREHE 30 / 5 / 2014 Kuanzia Saa 4 Asubuhi Maonyesho ya Wanafunzi na Baada ya Swala ya ISHAAI MAULIDI YA JUMUIA ,...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO MITAA YA KARIAKOO, MAANDALIZI YA MAULIDI YA MTUME (SAW)


Pita pita ya vijimambo ilikuta maamdalizi haya ya kisomo cha maulid ya Mtume (SAW) katika mitaa ya Kariakoo, ikamvutia sana paparazi wetu 





 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) HUKO WETE-PEMBA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba na kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Ndugu Mwanajuma Majid Abdalla tarehe 20.2.2015. Mama Salma alialikwa Pemba kama Mgeni Rasmi kwenye sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) iliyoandaliwa na Al-Madrasat Jabal- Hiraa. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Karume huko Pemba kwa ziara ya kikazi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.


Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.




 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani