Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PITA PITA YA VIJIMAMBO MITAA YA KARIAKOO, MAANDALIZI YA MAULIDI YA MTUME (SAW)


Pita pita ya vijimambo ilikuta maamdalizi haya ya kisomo cha maulid ya Mtume (SAW) katika mitaa ya Kariakoo, ikamvutia sana paparazi wetu 





Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO TIMES SQUARE NEW YORK KUELEKEA MWAKA MPYA

 Watu wakiwa tayari wamejipanga kusubiri mkesha wa mwaka mpya 2015 eneo la Times Square New York City, sehemu hii ni maarufu sana kwa New York na Marekani watu kutoka sehemu mbali mbali za dunia ufika New York kushuudia mwaka mpya kwa style mbali mbali  za kukiss adharani na wengine kuvalishana pete za uchumba wakiwa hapa Times Square baada ya kuangushwa mpira mkubwa unaojulina kama balls drop.
 ili ndiyo balls drop lenyewe linalo wavuta watu kutoka sehemu mbalimbali licha ya kuwa na baridi...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY WIKI ENDI

Adela alisherehekea birthday weekend kwa kujumuhika na marafiki kwa kichwaji na dinner, Hapa Adela akiwa kashikilia chupa za wine tayari kwa ku pomping the bottle kiroho safi ukiona birthday maana yake miaka inaenda winter, spring, summer siku azigandi.Hapa Adela akifurahi baada ya kupewa zawadi ambayo hakutegenea ya pesa taslim na marafiki zake.



 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA SHAMBA LA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA


Project ya ujenzi wa machine ya kukaushia samaki na matunda iliyobuniwa na Dr Temba imeenza kuwaka kama unavyoona kwenye picha project manager bwana William akiiwasha machine hiyo kwa mara ya kwanza na pembeni yake ni Dr Temba na nyuma William ni Sam fundi umeme.

Dr Temba akiongeza speed ya machine hiyo kwa majaribio kabda ya vifaa vingine kufungwa na company yake ya T.E.S kutoka Brooklyn. NY.

Hapa ni sehem itakayofungwa compute maalum itakayoendesha machine hii.
Wageni wakiaangalia machine...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA MNN STUDIO NEW YORK CITY


NY EBRA akiwa ndani ya Studio za (MNN) New York City akichukuwa Course ya TV Producer ni moja ya mikakati ya kujiweka sawa kwani Vijimambo team wako mbioni kuanzisha kituo cha TV. Na ilikuweza kufanya kazi kwa ufanisi na ubora Course ni muhimu pale muda unavyoruhusu.
Hapa ni Katibu wa NYCT Deo Mhella akiwa na Ebra ndani ya studio hizo za Manhattan Neighborhood Network, Deo alimtembelea Ebra na kujionea kinachoendelea ndani ya studio.NY akiwa nyuma ya camera ndani ya studio hizo

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO WIKIEND NDANI YA TROPICAL GRILL LOUNGE JAMAICA. NY


 David Kassian Birthday  Boy pande za Tropical Grill Lounge akiwa na marafiki zake kumpongeza.
 Birthday Boy David sijuhi alikuwa anaimba wimbo gani mbele ya ukodak wa Vijimambo hii yote katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa.
Cake ya Birthday Boy ikiwaka mshumaa juu yake kuashiria kuwa birthday cake ikatwe sasa

 Marafiki wakipata ukodak na birthday boy katikati David Kassian, kwa picha zaidi nenda soma zaidi



 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO BOABOB SECONDARY SCHOOL BAGAMOYO



Ny Ebra akiwa na mtoto wake anaeitwa Fauzia kwenye graduation yake iliyofanyika Baobab Secondary School Bagamoyo Tanzania. Fauzia amemaliza kidato cha nne katika shule hiyo na  Ny Ebra alikuwa mmoja kati ya wazazi wanaosomesha watoto wao kwenye shule hiyo, na ndiyo maana alifanya kila liwezekanalo kuweza kuudhuria siku hii muhim kwa mtoto wake kipenzi cha moyo wake kwani nijukumu lake kama mzazi anaetambua umuhim wa elimu kwa mtoto hasa wa kike. Hapa Fauzia akionyesha emotion baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA KAMERA YA VIJIMAMBO MGAHAWA WA SAFARI WASHINGTON, DC.

 Wadau wakiwa DMV wakiwa ndani ya mgahawa wa Safari wakijipatia wakimalizia sikukuu ya krismasi na kuukaribisha mwaka kwa kujinafasi na menyu kwenye mgahawa huo uliopo mtaa wa Georgia jijini Washington, DC. Kushoto ni Mindi Kasiga akifuatiwa na Edward Taji na Tom wakipata ile roho inapenda ndani ya mgahawa wa Safari DC.

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT

Baada ya likizo ndefu Ny Ebra Tanzania hapa akisindikizwa na marafiki zake JNIA kurudi U.S.A

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NA T.E.S NA UNIVERSITY OF DISTRICT OF COLUMBIA

 Smoke house kwa ajili ya wanafunzi wa University of District of Columbia iliyodesigniwa na Temba Engineering Service ikifungwa kwenye shamba maalum la chuo hicho maeneo ya Maryland.  Smoke house hii itakuwa na uwezo wa kukausha samaki na matunda kwa upande wa umeme itakuwa na uwezo wa kutumia generator, umeme wa kawaida na umeme wa soral power.  

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani