PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY WIKI ENDI
Adela alisherehekea birthday weekend kwa kujumuhika na marafiki kwa kichwaji na dinner, Hapa Adela akiwa kashikilia chupa za wine tayari kwa ku pomping the bottle kiroho safi ukiona birthday maana yake miaka inaenda winter, spring, summer siku azigandi.
Hapa Adela akifurahi baada ya kupewa zawadi ambayo hakutegenea ya pesa taslim na marafiki zake.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Em8feu2UuIc/Vgx1el0Q39I/AAAAAAAD_Ls/9N0EQnjsXaA/s72-c/3fa65a5d9373b2682f8e3f6de707de53.jpg)
PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK
![](http://2.bp.blogspot.com/-Em8feu2UuIc/Vgx1el0Q39I/AAAAAAAD_Ls/9N0EQnjsXaA/s640/3fa65a5d9373b2682f8e3f6de707de53.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-99otdDUOkqc/Vgx1eTXRWDI/AAAAAAAD_Lo/1BfGS4v8eHE/s640/b2e1b231b6cad847cce2435d00695618.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cwj6I1NdQ_Y/Vgx1epZh2-I/AAAAAAAD_Lw/miPpkWFILXg/s640/f46ac16bcffd9d97c3ffb1645f9afef0.jpg)
10 years ago
Vijimambo02 Oct
PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA MNN STUDIO NEW YORK CITY
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-ewN4W9kQhhg%2FVC1zvgZTYcI%2FAAAAAAADGj4%2FsWi4rYjQR9k%2Fs1600%2FIMG-20140930-00130.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-IKz_XUBTGpc%2FVC1zv7kX4OI%2FAAAAAAADGj8%2FtJlwOnTs0YI%2Fs1600%2FIMG-20140930-00133.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-VNrHwCbAiGo%2FVC1zxKvV6AI%2FAAAAAAADGkQ%2FEz7EfQjcI5w%2Fs1600%2FIMG-20140930-00135.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OvCCJBcVBMs/VCw4BzrKEHI/AAAAAAADGeQ/WAiGCKvEXJc/s72-c/IMG-20140930-WA003.jpg)
PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YORK CITY
![](http://4.bp.blogspot.com/-OvCCJBcVBMs/VCw4BzrKEHI/AAAAAAADGeQ/WAiGCKvEXJc/s1600/IMG-20140930-WA003.jpg)
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO WIKIEND NDANI YA TROPICAL GRILL LOUNGE JAMAICA. NY
David Kassian Birthday Boy pande za Tropical Grill Lounge akiwa na marafiki zake kumpongeza.
Birthday Boy David sijuhi alikuwa anaimba wimbo gani mbele ya ukodak wa Vijimambo hii yote katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa.
Cake ya Birthday Boy ikiwaka mshumaa juu yake kuashiria kuwa birthday cake ikatwe sasa
Marafiki wakipata ukodak na birthday boy katikati David Kassian, kwa picha zaidi nenda soma zaidi
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO PANDE ZA ATLANTA GA.
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA VIJIMAMBO TIMES SQUARE NEW YORK KUELEKEA MWAKA MPYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Qa_FSBkZyOY/VKRm5yoN7hI/AAAAAAADTfE/GXK5C5Y_mTM/s1600/image.jpg)
ili ndiyo balls drop lenyewe linalo wavuta watu kutoka sehemu mbalimbali licha ya kuwa na baridi...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-y1kG2EAGgh4/VhFZqcpS2PI/AAAAAAAD_To/Se1BNSpDqbI/s72-c/DSC_9797.jpg)
PITA PITA YA VIJIMAMBO WEEKEND NEW YORK
![](http://1.bp.blogspot.com/-y1kG2EAGgh4/VhFZqcpS2PI/AAAAAAAD_To/Se1BNSpDqbI/s640/DSC_9797.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sZstPaL4OVs/VhFZkDJdnBI/AAAAAAAD_Rs/jjC5d0Tkf9E/s640/DSC_9780.jpg)
Balozi wakudumu Tanzania katika Umoja wa...
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA VIJIMAMBO BROOKLYN, NEW YORK
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA SHAMBA LA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA
Project ya ujenzi wa machine ya kukaushia samaki na matunda iliyobuniwa na Dr Temba imeenza kuwaka kama unavyoona kwenye picha project manager bwana William akiiwasha machine hiyo kwa mara ya kwanza na pembeni yake ni Dr Temba na nyuma William ni Sam fundi umeme.
Dr Temba akiongeza speed ya machine hiyo kwa majaribio kabda ya vifaa vingine kufungwa na company yake ya T.E.S kutoka Brooklyn. NY.
Hapa ni sehem itakayofungwa compute maalum itakayoendesha machine hii.
Wageni wakiaangalia machine...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania