Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAFURIKO HAYA YA LOWASA YAKIAMISHIWA KWENYE MITO YETU TANZANIA HAKUTAKUWA NA SHIDA YA UMEME TENA

Ni asubuhi tulivu kabisa ya Jumatatu tarehe 10/8/2015.Ni siku ya kihistoria katika Taifa letu.Hii ni kwa sababu Kamanda mpambanaji na asiyechoka mzee wa Maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa akiwa na mgombea mwenza Juma Duni Haji watachukua rasmi fomu za kugombea Urais kupitia UKAWA katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Timu ya wanahabari wa JF tayari iko hapa buguruni katika ofisi kuu za CUF ili kuwaletea kila kitakachojiri.Tunatarajia maanadamano haya makubwa yataanza saa 3 asubuhi hapa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Umeme ni shida, Uchunguzi wabaini mikoa mingi iko kwenye hali tete

Wakati Naibu Waziri wa Nishati na Madini na Tanesco wakikanusha kuwepo kwa mgawo wa umeme, imebainika kuwa sehemu kubwa ya nchi imekosa umeme kwa siku kadhaa, likiwemo Jiji la Dar es salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Hakutakuwa na mgao wa umeme - Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema hakutakuwa na mgawo wa umeme nchini na bei ya umeme itapungua.

 

5 years ago

Michuzi

CHONGOLO AAGIZA POLISI KUWA CHUKULIA HATUA WATAKAOBAINIKA KUCHIMBA MCHANGA KWENYE MITO.


Meneja wa TARURA wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Leopold Runji akitoa maelezo kwa mkuu wa Wilaya hiyo ,Mhe. Daniel Chongolo kuhusu miundombinu ya barabara katika makazi ya TBA muda mfupi baada ya kutoka kukagua mito inayochimbwa mchanga
Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo wakiwa wameshuka kwenye gari na kuelekea kwenye mto salasala kuangalia namna ya kuwadhibiti wananchi wanaochimba mchanga katika mto huo.

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mikasa, vitimbi na shida mafuriko ya Magole-Dumila

>Kati ya watu wanaojutia mafuriko hayo ni mtoto  Mohamed Said, mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Magole, mkoani humo.

 

9 years ago

Bongo5

Hakutakuwa na button ya dislike kwenye Facebook bali emojis kuashiria hisia mbalimbali

Mtandao wa Facebook umetangaza Alhamis hii kuwa button yake ya dislike si kama watu walivyotarajia, bali ni kundi la emojis zenye kuashiria hisia mbalimbali. Emojis hizo zitakuwepo pembeni mwa button ya like ya dole gumba zikiwasilisha hisia mbalimbali zikiwemo, love, haha, yay, wow, sad, na angry. Bahati nzuri au mbaya hakuna button ya dislike. Utaratibu […]

 

10 years ago

Vijimambo

Baada ya Jina Lake Kukatwa, Haya Ndiyo Yanayomsumbua Edward Lowasa Mpaka Anashindwa Kula


Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda...

 

10 years ago

Mwananchi

Mafuriko yetu, ajali pia zetu zitumalize, tuna nini!

>Nilipoandika kwenye safu hii nikiomboleza misiba ya Watanzania wenzetu zaidi ya 1,000 ambao ajali lukuki za barabarani zimekatisha tena bila huruma maisha yao, zimezima ndoto na matumaini yao mengi, sikujua kama misiba mingi zaidi itaendelea kuirarua nchi yetu kwa kiasi hiki cha kusikitisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yetu sikivu ijibu maswali haya muhimu

Napenda niikumbushe serikali kwamba kuna maswali ilipewa na viongozi wa kanisa, yaani, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), Machi mwaka jana, lakini hadi leo bado haijatoa majibu sahihi ya maswali hayo mbali na kusema “uchunguzi bado unaendelea”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani