Amini: Sitokaa kimya tena kuanzia sasa
Amini amewahakikisha mashabiki wake kuwa hatokaa tena kimya kama zamani kuanzia sasa.
Hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya uitwao Furaha.
“Unajua nashukuru kwanza mashabiki wangu wamepokea vizuri huu ujio wangu na nimefanya interview ile siku ambayo wimbo umetoka mikoa 23 ya Tanzania. Huko nyuma haikuwahi kutokea kwangu. Hii inaonyesha jinsi gani sasa hivi muziki umekuwa. Na sasa hivi nawaahidi mashabiki wangu kuwa sitokaa kimya sana. Itakuwa ni ngoma juu ya ngoma tu,” Amini ameiambia...
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DsSJUFIPPtc/Xq7WHqwzv8I/AAAAAAALo84/qnVgaiOfIDI8MHXTwl3Nq28RgETUkwouQCLcBGAsYHQ/s72-c/acastro_200311_3936_coronavirus_0002.0.7.jpg)
WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA
![](https://1.bp.blogspot.com/-DsSJUFIPPtc/Xq7WHqwzv8I/AAAAAAALo84/qnVgaiOfIDI8MHXTwl3Nq28RgETUkwouQCLcBGAsYHQ/s640/acastro_200311_3936_coronavirus_0002.0.7.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.
Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.
Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.
Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana, tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...
9 years ago
Bongo528 Sep
Usher afunga ndoa kimya kimya na meneja wake Grace Miguel
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Baada ya Kuficha Ujauzito, Snura Adaiwa Kufunga Ndoa Kimya Kimya
Staa wa Bongo Fleva alieanzia uigizaji, Snura Mushi amedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni mzazi mwenziye,DJ maarufu mjini Mbeya,Hunter.
Habari zinasema kuwa katika sherehe ya ndoa hiyo walialikwa watu wachache kutoka kwenye pande mbili za familia ya wanandoa hao na ilifungwa kwa siri jijini Dar.
Kupitia U heard na Soudy Brown amezungumza na Snura ambaye amekana kufunga ndoa,lakini alipoulizwa kama aliweza kuficha mimba hadi alipojifungua je? Hawezi...
10 years ago
Vijimambo20 Feb
HII NDIYO YANGA NA MBIO ZA KUUSAKA UBIGWA KIMYA KIMYA TU UNAISOMA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-2ske2H6ibPs%2FVOZJSSyXGaI%2FAAAAAAADZ5A%2FMwgawl1uLNs%2Fs1600%2F1.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-nuzUTtxZEhY%2FVOZJSfqWZaI%2FAAAAAAADZ5E%2F3S76cANil-0%2Fs1600%2F6.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Kerr aibuka Tanga, aisoma African Sports kimya kimya
OSCAR ASSENGA, TANGA NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, juzi ametumia muda wa dakika 90 kukisoma kikosi cha timu ya African Sports “Wanakimanumanu”, wakati ikicheza mchezo wa kirafiki na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.
Kocha huyo alitua Tanga kimya kimya ili kuweza kukijua vizuri kikosi cha ‘Wana kimanumanu’, kabla hawajakutana kwenye ufunguzi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Septemba 12, mwaka huu.
Mchezo huo wa kirafiki ulimalizika kwa Coastal Union...
9 years ago
Bongo520 Oct
New Music: Kanye West aachia nyimbo 2 mpya kimya kimya – When I See I & Say You Will
10 years ago
CloudsFM11 Nov
Amini alivyoagwa jana THT na sasa yupo chini ya kampuni nyingine inaitwa BME
Amini akiwa na mkewe na Mwinjaku.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akizungumza na waandishi wa habari wakati wa sherehe ya kumuaga msanii Amin Mwinyimkuu THT na sasa amepata kmapuni nyingine iitwayo BME.
Msanii Linnah akizungumza kwenye sherehe hiyo ya kumuaga Amin.
Linnah kwenye red carpet.
Amin kwenye red carpet.
Meninah anye alikuwepo.
Mwasiti akizungumza kwenye sherehe hiyo.
Amini akiwa na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba.
11 years ago
Michuzi25 Jul