Mola atujalie rais ajaye awe kiongozi asiwe mtawala
RAIS wangu, waliosoma kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu ukurasa wa 96 imeandikwa; ‘Kijana mmoja mwenye hasira akamuuliza, sasa mheshimiwa unakwenda kwenu, ule uzalendo uliokuwa unaupigia baragumu unamwachia nani? Aliyekuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Kwa nini rais ajaye awe mwanamke
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Tatizo la hoja ya rais ajaye awe kijana siyo uzoefu; ni zaidi ya hilo
NINA uhakika siko peke yangu nitakaposema kuwa sidhani kama Watanzania wana tatizo ikitokea kuwa mwaka 2015, rais anayekuja atakuwa kijana. Sidhani kama wapo Watanzania wanaojua historia ya nchi yao ambao...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-DsSJUFIPPtc/Xq7WHqwzv8I/AAAAAAALo84/qnVgaiOfIDI8MHXTwl3Nq28RgETUkwouQCLcBGAsYHQ/s72-c/acastro_200311_3936_coronavirus_0002.0.7.jpg)
WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA
![](https://1.bp.blogspot.com/-DsSJUFIPPtc/Xq7WHqwzv8I/AAAAAAALo84/qnVgaiOfIDI8MHXTwl3Nq28RgETUkwouQCLcBGAsYHQ/s640/acastro_200311_3936_coronavirus_0002.0.7.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.
Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.
Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.
Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana, tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...
11 years ago
GPL![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2014/02/leadtheway_21x16-5.jpg?width=600)
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-opVqv1B_rKA/UxDQOLryiNI/AAAAAAAFQU0/SsDr1lsr3y0/s72-c/leadtheway_21x16-5.jpg)
MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-opVqv1B_rKA/UxDQOLryiNI/AAAAAAAFQU0/SsDr1lsr3y0/s1600/leadtheway_21x16-5.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Tuanze kujadili sifa za kweli za kiongozi ajaye
WACHA Kionambali naye aanze kuchungulia 2015. Kuna ubaya gani? Wengine walianza kuitazama 2015 tangu miaka kumi iliyopita. Kila mmoja akitunga ngonjera atakazokuja nazo kutuimbia Watanzania, na kwa vile tumezoea kudanganyika...
10 years ago
Mtanzania10 Nov
Lowassa: Kiongozi awe na ngozi kama ya tembo
![Edward Lowassa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Edward-Lowassa.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa amesema viongozi wenye maono na wasioogopa kusemwa ndio wanaotakiwa katika dunia ya sasa.
Lowasa aliyasema hayo jana alipokuwa akizindua helkopta ya Kanisa la Ufufuo na Uzima na vitabu tisa vilivyoandikwa na Askofu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
“Hapa duniani kuna viongozi wa aina mbili, kuna viongozi ambao kazi yao ni kusimamia mahesabu na viongozi wenye...
9 years ago
StarTV16 Dec
Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao
Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.
Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
JK azungumzia Rais ajaye
NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...