MATUKIO CHUMA : ‘Nilimwezesha Sitti awe na furaha tena’
Kila mtu huja duniani kwa lengo na maana maalum. Ni jukumu la kila mmoja kutambua nini afanye katika kipindi anachokuwapo duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.
Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.
Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.
Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana, tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea …
December 16 stori zilizopo kwenye mitandao mingi ya soka barani Ulaya ni kuhusu uamuzi wa uongozi wa klabu ya Chelsea kuhitisha mkutano wa dharura na kujadili mwenendo wa timu yao sambamba na kumjadili kocha Jose Mourinho. Nimekutana na video hii kutoka BBC ambayo wamekusanya matukio kadhaa ya Jose Mourinho akiwa hana furaha ndani ya Chelsea […]
The post Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea … appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
MichuziKukonda, Kunenepa, Furaha na Hasira zisizokwisha sasa zinarejea tena, tuanze kujiandaa
Charles James, Michuzi TV
NGOMA inarudi! Kipute kinalia, mbugi linarudi mwanangu, vita vinarejea, mtanange unaputwa ili uanze kupigwa. Furaha yenye mateso tuliyokua tumeimiss kitambo sasa inakuja kwenye macho yetu.
Ipo hivi; Baada ya miezi miwili ya Ligi mbalimbali za Soka duniani kusimamishwa kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid19 'Corona' sasa filimbi zinapulizwa kuashiria ligi zinarejea.
Ligi zinarudi baada ya Serikali za Nchi mbalimbali kuruhusu michezo kuanza kutokana na kuridhishwa...
10 years ago
MichuziSitti Tanzania Foundation inakuletea Chozi la Sitti 02.05.2015 @Mlimani City Conference Hall
Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa tunu, tunu ya jina la Sitti. Haya ni machache latika kitabu chake kipya kikiitwa – Chozi la Sitti……Kwa...
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini
Msanii wa Bongo Fleva,Keisha akizungumza kwa uchungu kwenye kipindi cha Leo Tena kuhusiana na matukio ya mauaji ya Albino yanayoendelea hapa nchini,wasanii wengine waliokuwepo ni Kajala,Shamsa Ford,Mwasiti na wengineo.
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Wezi wa chuma waiba njia ya reli
9 years ago
MichuziWasanii SHIWATA kumpa Magufuli ufagio wa chuma
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeamua kutekeleza kwa vitendo agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli la kufanya usafi nchini siku ya sherehe za Uhuru 9/12/2015 kufagia, kulima, kuzoa taka na kusafisha maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana Dar es Salaam kuwa usafi huo utaanzia makao makuu yao Ilala Bungoni, soko la Ilala,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mmachinga Complex, Soko la Mitumba Karume,...
10 years ago
Habarileo05 Jan
Mwanamke apigwa, aingiziwa chuma sehemu za siri
UKATILI wa kijinsia unaendelea kutikisa katika mkoa wa Mara, ambapo mwanamke mmoja, Robhi Mwita, amelazwa katika Hospitali Teule ya wilaya ya Bunda, baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya kwa kuingiziwa chuma sehemu za siri na mume wake, aliyetajwa kuwa ni Mwita Chacha Chirare, kutokana na wivu wa kimapenzi.