Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kukonda, Kunenepa, Furaha na Hasira zisizokwisha sasa zinarejea tena, tuanze kujiandaa


Charles James, Michuzi TV

NGOMA inarudi! Kipute kinalia, mbugi linarudi mwanangu, vita vinarejea, mtanange unaputwa ili uanze kupigwa. Furaha yenye mateso tuliyokua tumeimiss kitambo sasa inakuja kwenye macho yetu.

Ipo hivi; Baada ya miezi miwili ya Ligi mbalimbali za Soka duniani kusimamishwa kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Covid19 'Corona' sasa filimbi zinapulizwa kuashiria ligi zinarejea.

Ligi zinarudi baada ya Serikali za Nchi mbalimbali kuruhusu michezo kuanza kutokana na kuridhishwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tuanze sasa maandalizi ya Olimpiki 2016

Michezo ya Olimpiki 2016 itafanyika Rio de Janeiro, Brazil kuanzia Agosti 5 mpaka 21.

 

10 years ago

Mwananchi

MATUKIO CHUMA : ‘Nilimwezesha Sitti awe na furaha tena’

Kila mtu huja duniani kwa lengo na maana maalum. Ni jukumu la kila mmoja kutambua nini afanye katika kipindi anachokuwapo duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.

Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.

Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.

Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana,  tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uyoga unazuia mtu kunenepa :Utafiti

Utafiti nchini Taiwan na Uchina umebaini kuwa uyoga unaweza kutumika kuwasaidia watu kupunguza unene.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kunenepa ni tishio la kiafya kwa wanawake UK

Kunenepa ni tishio kubwa kwa afya ya wanawake pamoja na ile ya vizazi vijavyo, ameonya Afisa mkuu wa matibabu nchini Uingereza Dame Sally Davies.

 

10 years ago

Mwananchi

Tukishindwa sasa basi tena- Lowassa

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza kufanya hivyo tena, huku akihoji kama vyama tawala mbalimbali katika nchi za bara la Afrika vimeng’oka madarakani: “Kwa nini isiwe CCM”.

 

11 years ago

Habarileo

Darasa la 7 kufanya tena Matokeo Makubwa Sasa

WANAFUNZI wa Darasa la Saba waliofanya mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) wakiwa darasa la sita, watafanya mtihani mwingine wa aina hiyo kabla ya kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu kwa lengo la kuongeza ufaulu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Okwi tena.... aah! Hii sasa sifa

Ni Okwi tena... baada ya kuisulubu Yanga wiki iliyopita, mshambuliaji Emmanuel Okwi aliibuka tena shujaa jana baada ya kuipatia Simba pointi tatu muhimu dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye dakika za majeruhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani