Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Hasira ni hasara kwa afya yako

Je unajua kama hasira inaweza kukusababishia mshtuko wa moyo au kiharusi?

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hasira ya kura ya maoni yamtupa jela miaka mitatu

MKAZI wa Kijiji cha Ishunju, wilayani Missenyi, Sikitu Filemoni (27), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kutiwa hatiani kwa kumsababishia mwenzake ulemavu wa kudumu.


Hukumu hiyo ilitolewa Ijumaa iliyopita na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Gera, Allen Ifunya, ili iwe fundisho kwa mshitakiwa na watu wengine wanaoshindwa kutawala hasira zao.
Ilielezwa mshitakiwa alimrukia Dafroza Severian (41), mkazi wa kijiji hicho na kumng’ata mdomo, kitendo kilichosababisha kuondoa...

 

11 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE: Majadiliano ya vyama yabebe masilahi ya Taifa kwanza

>Wiki hii ilikuwa nianze kuchambua taarifa za Kamati za Bunge Maalumu, lakini kwa sababu ya zoezi linaloendelea la maridhiano baina ya vyama vya siasa chini ya uongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), nimeona niandike juu ya nia njema aliyokuwa nayo Rais tangu awali na msisitizo wake kwa namna tunavyopaswa kuendesha mijadala ya Katiba Mpya.

 

11 years ago

Habarileo

Ajiua kwa moto hasira za mapenzi

MKAZI mmoja wa kijiji cha Malolwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Ndikile Sunguli (38) amejichoma ndani ya nyumba hadi kufa baada ya kumjeruhi mke wake katika ugomvi unaoaminika ni wa mapenzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hasira kwa kukamatwa wanablogu Ethiopia

Hatua ya serikali ya Ethiopia kuwakamata wanablogu 9 imezua hasira kwenye mitandao ya kijamii nchini humo

 

10 years ago

Habarileo

Simba hasira zote kwa Coastal kesho

KOCHA wa timu ya soka ya Simba, Dylan Kerr amesema kambi yao ya Lushoto mkoani Tanga itakuwa na tija kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Prisons kumalizia hasira kwa Mbeya City

NAHODHA wa Tanzania Prisons, Laurian Mpalile amesema mchezo dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu lakini haiwafanyi kuogopa kucheza nao.

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani