Tukishindwa sasa basi tena- Lowassa
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza kufanya hivyo tena, huku akihoji kama vyama tawala mbalimbali katika nchi za bara la Afrika vimeng’oka madarakani: “Kwa nini isiwe CCMâ€.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
GARDNER KWA HALI HII SASA IDE BASI TENA
5 years ago
Michuzi
WATANZANIA NAOMBA KUANZIA SASA CORONA AWE RAFIKI YETU...KWELI TENA , ASIWE ADUI TENA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
CORONA mambo vipi? Natumai uko salama na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku hapa duniani tangu ulipokuja Desemba mwaka 2019.
Karibu Corona, karibu Duniani, karibu kila unapotaka kuingia. Ndio karibu Corona maana umekuja na malengo yako.
Malengo ya kuua maelfu ya binadamu. Sawa Corona maana ndicho unachoona kwetu sisi.
Dunia inalia tangu ulipokuja na kuanza kuua watu wasio na hatia. Umetutia majonzi makubwa sana, tunalia kwa ajili yako, wengi wamepoteza...
11 years ago
GPL
Wambura basi tena Simba
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Maximo basi tena Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...
10 years ago
GPLJuma Kaseja basi tena Yanga
10 years ago
GPL
NIKIACHIKA, NDOA TENA BASI- DAVINA
11 years ago
GPL
Simba ndiyo basi tena.. yazimwa Taifa
10 years ago
GPL
MBASHA: MIMI NA FLORA NDIYO BASI TENA!
10 years ago
Mwananchi17 Mar
‘Uharibifu wa barabara sasa basi’