Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIKIACHIKA, NDOA TENA BASI- DAVINA

Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kusema kuwa kama itatokea ndoa yake ikawa ndiyo imevunjika kabisa hatarajii kuolewa tena, itakuwa ndiyo imetosha. Staa wa filamu za Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Davina alisema anamshukuru Mungu kwa kubahatika kuonja tamu na chungu ya ndoa na sasa kama itatokea mumewe akaona waachane...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Nora: Naolewa, Nikiachika Tena…!

MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi.

Akipiga stori na paparazi wetu juzi, mmoja wa marafiki wa muda mrefu na Nora, ambaye pia ni msanii wa filamu (jina lipo kwenye droo zetu), alisema kwa sasa Nora yuko ‘bize’ kuhakikisha mambo na mipango ya harusi yake na mwanaume ambaye alitajwa kwa jina moja la Omary inakwenda...

 

9 years ago

GPL

NORA: NAOLEWA, NIKIACHIKA TENA…!

Brighton Masalu MUIGIZAJI wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ yuko katika siku za mwisho za kuhitimisha harakati za kufunga ndoa, huku akijiapiza kuwa, endapo ataachika tena, basi atakuwa na nuksi. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1JnAHiR

 

10 years ago

GPL

DAVINA AIPA LIKIZO NDOA YAKE

imelda mtema Mapumziko! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amefunguka kuwa baadhi ya watu wanafikiria hatarudi kwenye ndoa yake lakini kwa upande wake anaamini kuwa anakula likizo fupi kisha atarejea kuendelea na maisha ya ndoa. Halima Yahya ‘Davina’ Hivi karibuni, Davina aligombana na mumewe aliyehisi anaibiwa ‘mali’ zake na mwigizaji Mike Sangu. Akizungumza na Ijumaa...

 

10 years ago

GPL

MIKE SANGU AIPASUA NDOA YA DAVINA

Gladness Mallya
NI SHIDA! Msanii wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ anadaiwa kuipasua ndoa ya muigizaji mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’ na mumewe Abdallah Shakoor baada ya kutuhumiwa kutembea na msichana huyo mwenye watoto watatu. Msanii wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’. Chanzo makini kililiambia Risasi Mchanganyiko kuwa kufuatia tuhuma hizo za muda mrefu, Shakoor anadaiwa kufika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi

Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.

Gazeti hilo limedai kuwa Davina  alisema kuwa  anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.

Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo basi tena Yanga

Kocha-wa-Timu-ya-Club-ya-Yanga-Maxio-MaximoNA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...

 

11 years ago

GPL

Wambura basi tena Simba

Mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
KAMATI ya Uchaguzi ya Simba, jana Jumapili ilikutana kupitia pingamizi mbalimbali walizowekewa baadhi ya wagombea walioomba kuwania nafasi za uongozi wa klabu hiyo. Uamuzi kuhusiana na pingamizi mbalimbali utatolewa leo na kamati hiyo lakini kusalimika kwa mgombea wa urais wa Simba, Michael Wambura ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano....

 

9 years ago

Mwananchi

Tukishindwa sasa basi tena- Lowassa

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza kufanya hivyo tena, huku akihoji kama vyama tawala mbalimbali katika nchi za bara la Afrika vimeng’oka madarakani: “Kwa nini isiwe CCM”.

 

10 years ago

GPL

Juma Kaseja basi tena Yanga

Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja, imefahamika kuwa, amefikia kikomo cha kuendelea kuichezea timu hiyo inayojiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika (Caf). Awali, meneja wa kipa huyo, Abdulfatah Saleh, aliwahi kutamka kusitisha mkataba wa mchezaji wake, Kaseja wakati huu wa usajili wa dirisha dogo kwenye msimu huu wa ligi kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani