MIKE SANGU AIPASUA NDOA YA DAVINA
![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo7Uujad0KR0EHKV9vE9fYveZCMEdtBU*IxMQ0aTHmWttrhuMSKJCXGTGQVsBouDsgAku50uADy1U0OCUEaPa99H/rttr6567.gif?width=650)
Gladness Mallya NI SHIDA! Msanii wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ anadaiwa kuipasua ndoa ya muigizaji mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’ na mumewe Abdallah Shakoor baada ya kutuhumiwa kutembea na msichana huyo mwenye watoto watatu. Msanii wa filamu Bongo, Michael Sangu ‘Mike’. Chanzo makini kililiambia Risasi Mchanganyiko kuwa kufuatia tuhuma hizo za muda mrefu, Shakoor anadaiwa kufika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mike Sangu Afungukia Mdai ya Kutoka na Davina
Staa wa Bongo Movies, Michael Sangu ‘Mike’ amekanusha na kuruka kimanga baada ya taarifa kuvuma kuwa anatoka na mwigizaji wa kike Halima Yahaya ‘Davina’ na kusababisha uhusiano wa mwanadada huyo na familia yake kuvurugika, Mike anasema kuwa anamheshimu msanii huyo na kitu kipekee kinachowafanya wawe pamoja ni kazi tu.
Nimeulizwa sana na waandishi wengi kuhusu matatizo ya Davina lakini ukweli ni kwamba sina mahusiano naye zaidi ya kazi ambayo inatukutanisha na mimi nikiwa kama kiongozi wake...
9 years ago
Bongo Movies16 Dec
NAPE ANASTAHILI- MIKE SANGU
NAPE ANASTAHILI- MIKE SANGU
MWIGIZAJI wa kiume katika tasnia ya filamu Michael Sangu ‘Mike’ amefunguka kwa kuwashangaa watu wanaoponda uteuzi wa waziri wa Habari, Utamaduni Wasanii na michezo Mh. Nape Nnauye kwa kusema kuwa hawamjui vizuri wanatakiwa wafahamu ni mtu makini na anastahili.
Huwezi kuponda tu kwa sababu zako binafsi mimi ninamfahamu kiongozi Nape ni mtu makini na ana uwezo mkubwa sana katika masuala ya uongozi nawashangaa wanaoponda uteuzi wake bila kutambua uwezo wake,”anasema...
9 years ago
Bongo Movies21 Dec
Mchuano Mkali TDFAA 2015, Jimmy Mafufu, Mike Sangu, David , Dile , Salum Chilwa
MCHUANO mkali katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama cha waigizaji Taifa (TDFAA) huku wasanii wenye ushawishi kwa wasanii wenzao wakijitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo anasema katibu Twiza.
![Jimmy Mafufu akichukua fomu ya kugombea kutoka kwa katibu wa TDFAA Twiza Mbarouk .](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/Jimmy-Mafufu.jpg)
Jimmy Mafufu akichukua fomu ya kugombea kutoka kwa katibu wa TDFAA Twiza Mbarouk .
“Mchuano ni mkali kila mhusika amepanga kuwa ni mshindi katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya uenyekiti Kitaifa kwa chama cha Waigizaji, hadi sasa ni zaidi ya wasanii wane...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/qsadWY-0AmQ*UWjbsfTIG6jBQNK7r0jIR*xYejxFoEqR8xgcH4OOVRIccLUizIWZOvdS6fBnOUkRJX*wlQwY5iF-cHFJ*2J6/mike1.jpg?width=550)
MIKE ADAIWA KUMNASA DAVINA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXvQuJCgI6x4ysC9r1-pVDOeECZUZsWDvktJlFC0oJ1INvjRQQRCg8ewCdPfPhF2pSbp2EiwLYYJWz-8NLte6tVv/NDOA.jpg?width=650)
NDOA YA THEA, MIKE YASUKWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulk2aFLrePb--n1S3hhiOF8xvhcAFudtp0bqMGVjFsj8-Gbs1dif060*nqtZE8r8CUq7X-WnnW*bsRKD17s2*3f-/2.jpg?width=650)
NDOA YA THEA, MIKE CHALI TENA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfANdexowJDVrh6T2uoW7LIvIkuZQNshYIKWikEt6qVTnlz1FxNQKF1ns46jPHX1UAjO2U21oPc0QqW9q03liwU1/Davina.jpg)
NIKIACHIKA, NDOA TENA BASI- DAVINA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3ZSopUVDgYthF9anNTihHnjqkZ57Gid55ErAKMqVXqYrsWMc3qFY8yg-5GKFme3PRRXgJabVN3*dtrglKmlE7o6PVCJ1jv4/davinacopy.jpg?width=650)
DAVINA AIPA LIKIZO NDOA YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLadsmXnIZbFGHLOVoQ3sOVOm0YVHqrJtmMHwkCPt5k0d6YmCvk*0CUNngQEakAoi5DLTlpudEhgrrjuz6VruG7QP/Thea.jpg?width=650)
SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA