MIKE ADAIWA KUMNASA DAVINA
![](http://api.ning.com/files/qsadWY-0AmQ*UWjbsfTIG6jBQNK7r0jIR*xYejxFoEqR8xgcH4OOVRIccLUizIWZOvdS6fBnOUkRJX*wlQwY5iF-cHFJ*2J6/mike1.jpg?width=550)
Michael Sangu ‘Mike’. Richard Bukos SIKU chache baada ya mwigizaji Michael Sangu ‘Mike’ kumwagana na mkewe mwigizaji Ndumbagwe Misayo ‘Thea’, amedaiwa kumnasa staa mwingine wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ kwa kuwa naye karibu kiasi cha kuibua maswali. Aliyekuwa mke wa Mike, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’. Katika hafla ya utoaji wa tuzo za TAFA wiki iliyopita katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo7Uujad0KR0EHKV9vE9fYveZCMEdtBU*IxMQ0aTHmWttrhuMSKJCXGTGQVsBouDsgAku50uADy1U0OCUEaPa99H/rttr6567.gif?width=650)
MIKE SANGU AIPASUA NDOA YA DAVINA
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mike Sangu Afungukia Mdai ya Kutoka na Davina
Staa wa Bongo Movies, Michael Sangu ‘Mike’ amekanusha na kuruka kimanga baada ya taarifa kuvuma kuwa anatoka na mwigizaji wa kike Halima Yahaya ‘Davina’ na kusababisha uhusiano wa mwanadada huyo na familia yake kuvurugika, Mike anasema kuwa anamheshimu msanii huyo na kitu kipekee kinachowafanya wawe pamoja ni kazi tu.
Nimeulizwa sana na waandishi wengi kuhusu matatizo ya Davina lakini ukweli ni kwamba sina mahusiano naye zaidi ya kazi ambayo inatukutanisha na mimi nikiwa kama kiongozi wake...
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Snura Adaiwa Kupora Mume wa Davina
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake ambae ni staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL , kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo.
“Yaani mastaa wa Bongo bwana, wanapenda sana kuchukuliana mabwana. Huyu Snura...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXbRKs8L3USnPj6YnGEqO*f5dHk6qvRZbKpQThne-MuGlSpBcp8AdYMf837eGAG2FOozd18lHnv06LrWK-hW8Xko/steve.jpg)
MIKE ADAIWA KUWA MLINZI WA STEVE NYERERE
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JL7JIGI7mIVMNA8DL*Nc6TJwTnB4VhOMLrETAMQ4qKpogI845*KiP1oXxwHUK3j4HmPfPc1YCH*CUCrKjXYtG6H/WW.jpg)
MAN U KUMNASA MIRANDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lnNHCVxKyAJXU7v1nKG1EUDuOanm2*SPd08WiHCIFqmVgIghUMWEa*3ykTjwtGQRHL3nvMfIpO92rQBScH2gPuNkMuZMqA6f/rayc.gif?width=650)
RAY C AHAHA KUMNASA JK UKUMBINI!
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Liverpool yajizatiti kumnasa Milner