SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
HAMIDA HASSAN Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Snura Adaiwa Kupora Mume wa Davina
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake ambae ni staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL , kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo.
“Yaani mastaa wa Bongo bwana, wanapenda sana kuchukuliana mabwana. Huyu Snura...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NnMed0rJC6a5PFsZZPEQakBhErJYLgofsVReWXq4O2*c6Kqif5JHJmre3hIfeVcyHzdyiZr9shuDxe4hx*or7cbFOo-Zggsf/nisoo.jpg?width=650)
MFANYABIASHARA WA MADINI ADAIWA KUPORA MKE
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Mwekezaji adaiwa kupora ardhi hekari 3,700
BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Bihata, Kata ya Kyebitembe Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wamedai kuporwa ardhi yao ipatayo hekari 3,700 na mwekezaji, Diolex Joseph. Pia wananchi hao wanalalamikia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOhB63uBwXjtG3xar4ZTI2THLclXz43Nw-sjxveVV4lkxwhd1F9SIizejTTxrYYtfct-mCh1ZJSn4Hj0furS8kQ-/WOLPER.jpg?width=650)
WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/qsadWY-0AmQ*UWjbsfTIG6jBQNK7r0jIR*xYejxFoEqR8xgcH4OOVRIccLUizIWZOvdS6fBnOUkRJX*wlQwY5iF-cHFJ*2J6/mike1.jpg?width=550)
MIKE ADAIWA KUMNASA DAVINA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzPfBre8N7ajnzhkLY9k6vghkYnBkuPejvKMybZGVj2acEImb9p8TTpvR9aNO*1IBeLWNpqEypcO4hf0sqQ2uhh9f4vf0Aja/e.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA KUMFICHA MWANAYE
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCja4h4Kbyt3*oJGvWbX2k7qVlKduiNgIUPLjgIrWGoXcsmcP2n3KJHCUU9b7Zgo8gdEh0MhH*tHStRQoHAAba0u/biharusi.jpg?width=650)
MUME ADAIWA KUUZA KABURI LA MKE WAKE