MUME ADAIWA KUUZA KABURI LA MKE WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCja4h4Kbyt3*oJGvWbX2k7qVlKduiNgIUPLjgIrWGoXcsmcP2n3KJHCUU9b7Zgo8gdEh0MhH*tHStRQoHAAba0u/biharusi.jpg?width=650)
Shakoor Jongo na Deogratius Mongela Hii ndiyo kali ya kufungia mwaka katika zote zilizotokea mwaka 2013! Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Abrahaman, mkazi wa Kimara-Kilungule, Dar, anadaiwa kuuza kiwanja ambacho ndani yake kuna kaburi marehemu mkewe, Aisha Abdul aliyefariki Julai 21, 2004. MALALAMIKO MEZANI Wakizungumza na Uwazi kwa nyakati tofauti, watoto wa marehemu ambao wanapingana na tukio hilo la baba yao kuuza eneo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-30fHWSVpUrM/VA3LTT6fTrI/AAAAAAAGiAY/PqQZRTStY0c/s72-c/IMG-20140908-WA0012.jpg)
Breaking nyuzzzzz......Mahakama yaamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mdogo kijiji cha mandaka wilaya ya moshi vijijini
![](http://2.bp.blogspot.com/-30fHWSVpUrM/VA3LTT6fTrI/AAAAAAAGiAY/PqQZRTStY0c/s1600/IMG-20140908-WA0012.jpg)
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Uamuzi wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurant kwenda mahakamani kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata...
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Rick Ross adaiwa kuiba gari la mke wake
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, William Roberts ‘Rick Ross, amekanusha kuhusika katika wizi wa gari ya mke wake aina ya BMW B7 lililokuwa likitumiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 9.
Msanii huyo na mke wake, Tia Kemp, walilinunua gari hilo kwa ajili ya mtoto wao kwenda nalo shule, lakini mara kwa mara Rick Ross alikuwa akipenda kulitumia kitendo kilichokuwa kikizua ugomvi kati yao wa mara kwa mara.
Mwishoni mwa wiki iliyopita gari hilo lilipotea katika...
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Mume azungumzia machungu ya kumpoteza mke wake aliyekuwa mjamzito kwa virusi vya corona
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nd24W9ECLPMLSVweh9BZ9YYRhMjmRLhO-mrrRvhwHZg8cIl1Y-9iA7-0DHGTGfsvTjFwkzDSuFYoycq02jD6oq7K1WQYd0IC/IMG20140908WA0011.jpg?width=650)
MAHAKAMA YAAMURU KABURI LA MUME KUFUKULIWA
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.
10 years ago
Bongo Movies16 Mar
Snura Adaiwa Kupora Mume wa Davina
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake ambae ni staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL , kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo.
“Yaani mastaa wa Bongo bwana, wanapenda sana kuchukuliana mabwana. Huyu Snura...
11 years ago
Mwananchi28 May
Mume wa mwimbaji nguli wa Injili adaiwa kumbaka shemejiye
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YcvMs-3TPiK3AUAj6YKlbo*Hqb0C9Od74Kd75QjRs9nwxh06dEISIAMnzJeLOGn4RdOQZ3N4ZurTVikn1XzACV/e.jpg)
KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME