Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFANYABIASHARA WA MADINI ADAIWA KUPORA MKE

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha KIGOGO wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ (38) anadaiwa kupora mke wa mtu, Violet Herman Masawe (29) huku ikisemekana anatumia jeuri ya fedha kumnyanyasa mwenye mke. Kigogo wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ anayedaiwa kupora mke wa mtu. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura Adaiwa Kupora Mume wa Davina

Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake ambae ni staa wa Bongo Movies, Halima Yahya ‘Davina’.

Kwa mujibu wa chanzo cha GPL , kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo.

“Yaani mastaa wa Bongo bwana, wanapenda sana kuchukuliana mabwana. Huyu Snura...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA

Hamida Hassan na Gladnes Mallya Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga amemshangaa msanii mwenzake Jacqueline Wolper kwa kutoka kimapenzi na mwanaume wake aitwaye Jimmy. Staa wa filamu za Kibongo, Jackline Wolper. Sosi wa karibu na mastaa hao alidai kuwa, baada ya hivi karubuni gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi kuandika kuwa Wolper amepata kigogo mpya aitwaye Jimmy, Lungi alishangaa, akajiuliza imekuwaje tena Wolper...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji adaiwa kupora ardhi hekari 3,700

BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Bihata, Kata ya Kyebitembe Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wamedai kuporwa ardhi yao ipatayo hekari 3,700 na mwekezaji, Diolex Joseph. Pia wananchi hao wanalalamikia...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli

MFANYABIASHARA , Hassan Kombo (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Karani Hatanao Kitogo alidai mbele ya Hakimu Christine Luguru, Machi 9 mwaka huu huko Zanzibar, Kombo alikabidhiwa mafuta ya chakula dumu 100 ayalete Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara adaiwa kubaka

MFANYABIASHARA Edward Kohe (35) mkazi wa Kitunda-Kizuiani, Ilala mkoani Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya kubaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara adaiwa kutapeli mil. 8/-

JESHI la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mfanyabiashara Rajabu Gafa (39) kwa tuhuma za kumtapeli mwanamke sh milioni 8, pete pamoja na mikufu ya dhahabu ambayo thamani yake haijajulikana. Kamanda wa...

 

11 years ago

GPL

MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!

Na Mwandishi Wetu
SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua mumewe aliyetajwa kwa jina la Amosi Joseph kwa kumpiga kwa kukombe kichwani, Ijumaa linaidondosha kama ilivyo. Akisimulia mbele ya gazeti hili mkasa mzima, mtoa habari hii aliyetajwa kuwa dada wa marehemu anayejulikana kwa jina la Khadija,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani