Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIKE ADAIWA KUWA MLINZI WA STEVE NYERERE

Na Hamida Hassan STAA wa filamu za Bongo, Mike Sangu amedaiwa kuajiriwa na Steve Nyerere kuwa mlinzi wake kutokana na kutembea naye kila kona. Staa wa Filamu za Bongo, Mike Sangu Chanzo cha habari hii kilidai kuwa, baada ya Steve kuachia madaraka Bongo Movie Unity, Mike naye alijiondoa kimyakimya na kuhamia kwa Steve na kuwa mlinzi wake kila anakokwenda. “Unajua hadi aibu! Steve hata akisogea kwenda kuongea na simu Mike...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE!

Stori: Mayasa Mariwata
OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mwigizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina moja la Johnson. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE ADAIWA ‘KULA’ KWA MEMBE, WASIRA

Mchekeshaji maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Erick Evarist
OHOOO! Mchekeshaji maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amedaiwa kupewa fedha za kampeni kutoka kwa wagombea wawili tofauti wa urais 2015, Bernard Membe na Stephen Wasira. Steve Nyerere akifafanua jambo kuhusiana na siasa pamoja na filamu. Chanzo makini kimepenyeza ubuyu kuwa, Steve hakuwa na msimamo wa kumfanyia kampeni...

 

10 years ago

Bongo Movies

MPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za maandalizi ya maombi ya wasanii waliofariki

Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake

Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati viongozi wote wa klabu hiyo walikaa kikao kilichoitishwa na katibu wao, William Mtitu ambacho kilikuwa na lengo la kujadili jinsi ya kumwajibisha Steve Nyerere kwa madai hayo.

“Kuna...

 

11 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere alia na watu wanaomzushia kuwa yeye ni shoga.

Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.

 

Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:

Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti...

 

10 years ago

GPL

MIKE ADAIWA KUMNASA DAVINA

Michael Sangu ‘Mike’. Richard Bukos
SIKU chache baada ya mwigizaji Michael Sangu ‘Mike’ kumwagana na mkewe mwigizaji Ndumbagwe Misayo ‘Thea’, amedaiwa kumnasa staa mwingine wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ kwa kuwa naye karibu kiasi cha kuibua maswali. Aliyekuwa mke wa Mike, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’. Katika hafla ya utoaji wa tuzo za TAFA wiki iliyopita katika...

 

11 years ago

Habarileo

Mlinzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka 2

MLINZI wa Kampuni ya Security Guard, Keiya Kapuka (28) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, kujibu mashitaka ya kunajisi mtoto wa miaka miwili. Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Munde Kalombola alidai mbele ya Hakimu Ester Mwakalinga kuwa Februari 9, mwaka huu, eneo la Mtaa wa Muheza wilayani Ilala, Kapuka alimnajisi mtoto wa miaka miwili.

 

10 years ago

Habarileo

Mlinzi EAC adaiwa kuua dereva wa Jaji

MFANYAKAZI wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Idara ya Mahakama (EACJ), Ibrahimu Msagati (33), amekufa baada ya kupigwa risasi ya mgongoni na anayetuhumiwa kufanya hivyo, ni Mlinzi Mkuu wa jumuiya hiyo, Jackson Oula.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AFUNGUKIA MADAI

Mwandishi Wetu STAA wa uchekeshaji na filamu Bongo, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia madai ya kujiondoa Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na umoja wa UKAWA akisema kushindwa kwake katika kura za maoni hakuwezi kuondoa heshima yake kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete. ...Soma zaidi===> http://bit.ly/1P5OMBB

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani