Mlinzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka 2
MLINZI wa Kampuni ya Security Guard, Keiya Kapuka (28) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, kujibu mashitaka ya kunajisi mtoto wa miaka miwili. Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Munde Kalombola alidai mbele ya Hakimu Ester Mwakalinga kuwa Februari 9, mwaka huu, eneo la Mtaa wa Muheza wilayani Ilala, Kapuka alimnajisi mtoto wa miaka miwili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanafunzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka minne
Mwanafunzi wa darasa la kumi Shule ya Sekondari ya Mwera Wilaya ya Kati Unguja Rashid Suleiman Ame anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kunajisi mtoto mwenye umri wa miaka 4 (jina linahifadhiwa).
10 years ago
Habarileo18 Feb
Ashtakiwa kwa kunajisi mtoto wa miaka 4
MKAZI wa Bangulo Hali ya Hewa, Baraka Benson (30) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka minne.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Kijana adaiwa kubaka mtoto wa miaka 16
MKAZI wa kitongoji cha Misunkumilo mjini Namanyere, Zacharia Katembo (21) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi kwa madia ya kumbaka mtoto.
Mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo Jumanne wiki hii, mbele ya Hakimu Ramadhani Mgalamalira, ambapo alikana mashitaka ya kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 16.
Hakimu Mgalamalira aliahirisha shauri hilo hadi Machi 23, mwaka huu, litakapotajwa tena. Pia aliamuru mshitakiwa kurejeshwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya...
10 years ago
Habarileo16 Aug
Kizimbani akidaiwa kunajisi mtoto
MKAZI wa Kinondoni Msisiri jijini Dar es Salaam, Ally Mzaki (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kujibu mashitaka ya kumnajisi mtoto wa miaka mitano.
11 years ago
Habarileo13 Feb
Dada amsaidia kaka kunajisi binti wa miaka 12
MKAZI wa mtaa wa Tambukareli wilayani Mpanda, Helen Simon (20) anashikiliwa Polisi na kaka yake, Afred Mnyonge (24) kwa tuhuma za kumsaidia kaka huyo kumnajisi msichana jirani yao, mwenye umri wa miaka 12.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXbRKs8L3USnPj6YnGEqO*f5dHk6qvRZbKpQThne-MuGlSpBcp8AdYMf837eGAG2FOozd18lHnv06LrWK-hW8Xko/steve.jpg)
MIKE ADAIWA KUWA MLINZI WA STEVE NYERERE
10 years ago
Habarileo22 Aug
Mlinzi EAC adaiwa kuua dereva wa Jaji
MFANYAKAZI wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Idara ya Mahakama (EACJ), Ibrahimu Msagati (33), amekufa baada ya kupigwa risasi ya mgongoni na anayetuhumiwa kufanya hivyo, ni Mlinzi Mkuu wa jumuiya hiyo, Jackson Oula.
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Mlinzi Jela miaka 30 kwa kubaka
9 years ago
StarTV09 Sep
Mlinzi wa kiwanja kwa zaidi ya miaka 20 adai haki zake
Serikali na taasisi za haki za binadamu zimeombwa kumsaidia mwananchi Issa Hassan Kilopola kupata haki yake ya kulipwa malimbikizo ya mshahara wa miaka 25 ya ulinzi wa Kiwanja nambari 24, Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani jijini Dar es Salaam.
Mlinzi huyo anadai malimbikizo ya mshahara huo tangu mwaka 1990 kutoka kwa mmiliki wa awali wa kiwanja hicho Abbullih Majid anayedaiwa kufariki dunia.
Kiwanja hicho kwa sasa kinadaiwa kuuzwa kwa Mbunge aliyemaliza muda wake Suleiman...