Kijana adaiwa kubaka mtoto wa miaka 16
MKAZI wa kitongoji cha Misunkumilo mjini Namanyere, Zacharia Katembo (21) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi kwa madia ya kumbaka mtoto.
Mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo Jumanne wiki hii, mbele ya Hakimu Ramadhani Mgalamalira, ambapo alikana mashitaka ya kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 16.
Hakimu Mgalamalira aliahirisha shauri hilo hadi Machi 23, mwaka huu, litakapotajwa tena. Pia aliamuru mshitakiwa kurejeshwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya...
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili18 Oct
India: Watu 2 ndani kubaka mtoto wa miaka 2
10 years ago
Habarileo13 Mar
Atupwa jela miaka 30 kwa kumsaidia mtoto kubaka
MAMA aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.
11 years ago
Habarileo04 Mar
Mlinzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka 2
MLINZI wa Kampuni ya Security Guard, Keiya Kapuka (28) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala, kujibu mashitaka ya kunajisi mtoto wa miaka miwili. Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Munde Kalombola alidai mbele ya Hakimu Ester Mwakalinga kuwa Februari 9, mwaka huu, eneo la Mtaa wa Muheza wilayani Ilala, Kapuka alimnajisi mtoto wa miaka miwili.
11 years ago
CloudsFM18 Jul
Kijana amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’
Moshi. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha 'kula ubongo' wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mji huu.
Kijana huyu aliyefahamika kwa jina la Lawrence Mramba, 20, alimshambulia mtoto huyo mwenye umri wa miaka 9 kwa panga wakati akienda shule mnamo saa 1 asubuhi Ijumaa, akampasua kichwa na kisha akaanza kutafuna ‘vipande vya ubongo wake.’
Mara baada ya kitendo hicho cha kushtusha, Mramba, aliyeonekana kuwa na matatizo ya...
11 years ago
Habarileo21 Mar
Mwanafunzi adaiwa kunajisi mtoto wa miaka minne
Mwanafunzi wa darasa la kumi Shule ya Sekondari ya Mwera Wilaya ya Kati Unguja Rashid Suleiman Ame anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kunajisi mtoto mwenye umri wa miaka 4 (jina linahifadhiwa).
11 years ago
Mwananchi19 Jul
YATISHA: Kijana afyatuka, amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara adaiwa kubaka
MFANYABIASHARA Edward Kohe (35) mkazi wa Kitunda-Kizuiani, Ilala mkoani Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya kubaka.
11 years ago
Habarileo04 Jul
Adaiwa kubaka, kumpa ujauzito mwanafunzi
MKAZI wa kijiji cha Kasovo, Joseph Ayoub (20) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Nkasi kujibu mashitaka mawili ya kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 17.
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Mwalimu adaiwa kubaka wanafunzi wake wanne