Mwalimu adaiwa kubaka wanafunzi wake wanne
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linafanya uchunguzi wa tuhuma za ubakaji wa wanafunzi wanne zinazomkabili mwalimu wa Shule ya Msingi Kimerembe wilayani Ludewa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Apr
Radi yaua mwalimu, wanafunzi wake 6
WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita wa shule ya msingi Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma wamekufa baada ya kupigwana radi kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha kuanzia jana asubuhi hadi mchana.
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara adaiwa kubaka
MFANYABIASHARA Edward Kohe (35) mkazi wa Kitunda-Kizuiani, Ilala mkoani Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya kubaka.
11 years ago
Habarileo13 Mar
Kijana adaiwa kubaka mtoto wa miaka 16
MKAZI wa kitongoji cha Misunkumilo mjini Namanyere, Zacharia Katembo (21) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi kwa madia ya kumbaka mtoto.
Mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo Jumanne wiki hii, mbele ya Hakimu Ramadhani Mgalamalira, ambapo alikana mashitaka ya kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 16.
Hakimu Mgalamalira aliahirisha shauri hilo hadi Machi 23, mwaka huu, litakapotajwa tena. Pia aliamuru mshitakiwa kurejeshwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya...
11 years ago
Habarileo04 Jul
Adaiwa kubaka, kumpa ujauzito mwanafunzi
MKAZI wa kijiji cha Kasovo, Joseph Ayoub (20) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Nkasi kujibu mashitaka mawili ya kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 17.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Mwalimu arejesha fedha za wanafunzi
Na Abdallah Amiri, Igunga
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Igunga Day, mkoani Tabora, aliyedaiwa kuwachangisha wanafunzi wa kidato cha tatu zaidi ya Sh milioni 2.8 kwa ajili ya kwenda mbuga za wanyama Ngorongoro kujifunza, ameanza kurejesha fedha hizo.
Hatua hiyo imefikia hapo siku chache baada ya gazeti hili kuripoti juu ya mwalimu huyo, Paulo Msabila kukusanya kiasi hicho cha fedha.
Akizungumza na gazeti hili juzi Mkuu wa Shule hiyo, Nelson Edward alisema Mwalimu Msabila alionekana Desemba...
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Wanafunzi wamkata panga mwalimu wao
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Wanafunzi kortini kwa kumjeruhi mwalimu
WANAFUNZI wawili wa Shule ya Sekondari Kibara, iliyoko wilayani Bunda, Mara, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda wakikabiliwa na tuhuma za kumshambulia mwalimu mkuu wa shule hiyo na kumjeruhi...