Wanafunzi wamkata panga mwalimu wao
>Wanafunzi wawili wa Shule ya Sekondari ya Kibara, wilayani Bunda wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Bunda wakikabiliwa na shtaka la kumshambulia na kumjeruhi kwa panga mwalimu mkuu wa shule hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Mwalimu arejesha fedha za wanafunzi
Na Abdallah Amiri, Igunga
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Igunga Day, mkoani Tabora, aliyedaiwa kuwachangisha wanafunzi wa kidato cha tatu zaidi ya Sh milioni 2.8 kwa ajili ya kwenda mbuga za wanyama Ngorongoro kujifunza, ameanza kurejesha fedha hizo.
Hatua hiyo imefikia hapo siku chache baada ya gazeti hili kuripoti juu ya mwalimu huyo, Paulo Msabila kukusanya kiasi hicho cha fedha.
Akizungumza na gazeti hili juzi Mkuu wa Shule hiyo, Nelson Edward alisema Mwalimu Msabila alionekana Desemba...
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu
10 years ago
Habarileo31 Jan
Wanafunzi wanaonyonyesha wamnyong’onyeza mwalimu
WALIMU wanaofundisha katika shule za sekondari za Halmashauri ya Mji Mpanda mkoani Katavi, wamesema hulazimika kuwaruhusu wanafunzi wa kike ambao tayari ni wazazi kurudi nyumbani wakati wa masomo ili wakanyonyeshe watoto wao wachanga.
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Wanafunzi kortini kwa kumjeruhi mwalimu
WANAFUNZI wawili wa Shule ya Sekondari Kibara, iliyoko wilayani Bunda, Mara, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda wakikabiliwa na tuhuma za kumshambulia mwalimu mkuu wa shule hiyo na kumjeruhi...
10 years ago
BBCSwahili23 Jun
Mwalimu mkuu ashiriki ngono na wanafunzi
10 years ago
Habarileo15 Apr
Radi yaua mwalimu, wanafunzi wake 6
WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita wa shule ya msingi Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma wamekufa baada ya kupigwana radi kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha kuanzia jana asubuhi hadi mchana.
11 years ago
Habarileo09 Jul
Wanafunzi walioua mwalimu jela miaka 6
VIJANA wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwalimu wao. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inayoendesha vikao vyake mjini Singida, ilitoa hukumu hiyo jana.
10 years ago
Habarileo24 Feb
Radi yaua mwalimu, wanafunzi sita
WATU saba wakiwamo wanafunzi sita wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyakasanda na Mwalimu wa shule hiyo, Anderson Kibada wamekufa baada ya kupigwa na radi huku watu wengine 11 akiwemo Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Laurence Sesegwa (42) wakijeruhiwa.
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Mwalimu adaiwa kubaka wanafunzi wake wanne