Wanafunzi kortini kwa kumjeruhi mwalimu
WANAFUNZI wawili wa Shule ya Sekondari Kibara, iliyoko wilayani Bunda, Mara, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda wakikabiliwa na tuhuma za kumshambulia mwalimu mkuu wa shule hiyo na kumjeruhi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-T0eBH1hwljM/XtqCZzCR3kI/AAAAAAALsxM/pD-DqTN-ziIyRQfs80-JmMR2fs_fAad5wCLcBGAsYHQ/s72-c/HUKUMU.jpg)
Mwalimu mkuu ahukumiwa kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake wa darasa la saba
![](https://1.bp.blogspot.com/-T0eBH1hwljM/XtqCZzCR3kI/AAAAAAALsxM/pD-DqTN-ziIyRQfs80-JmMR2fs_fAad5wCLcBGAsYHQ/s320/HUKUMU.jpg)
Mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Iwale Mwl.Steven Mahenge kulipa faini ya shilingi Laki 5 au kwenda jela miezi minne kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake anayesoma darasa la 7 mwenye umri wa miaka 13 ambaye jina linahifadhiwa
Pia Mahakama hiyo imetoa amri ya mshtakiwa kulipa fidia ya shilingi Laki 1 kwa mlalamikaji kutokana na kosa alilomtendea lililopelekea kudhurika mwili wake
Hakimu mkazi wa...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Mwalimu jela kwa ‘kufuga’ wanafunzi watoro
11 years ago
Habarileo19 Jun
Wakili kizimbani kwa kumjeruhi 'housegirl'
WAKILI wa kujitegemea, Yasinter Rwechungura (44) amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujeruhi mfanyakazi wake wa ndani.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Mfaransa kizimbani kwa kumjeruhi dada wa kazi
FOLKERSMAN Laurent (41), mkazi wa Tabata raia wa Ufaransa, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na makosa ya kumpiga na kumjeruhi mfanyakazi wake...
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Mwalimu arejesha fedha za wanafunzi
Na Abdallah Amiri, Igunga
MWALIMU wa Shule ya Sekondari Igunga Day, mkoani Tabora, aliyedaiwa kuwachangisha wanafunzi wa kidato cha tatu zaidi ya Sh milioni 2.8 kwa ajili ya kwenda mbuga za wanyama Ngorongoro kujifunza, ameanza kurejesha fedha hizo.
Hatua hiyo imefikia hapo siku chache baada ya gazeti hili kuripoti juu ya mwalimu huyo, Paulo Msabila kukusanya kiasi hicho cha fedha.
Akizungumza na gazeti hili juzi Mkuu wa Shule hiyo, Nelson Edward alisema Mwalimu Msabila alionekana Desemba...
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu
10 years ago
Habarileo31 Jan
Wanafunzi wanaonyonyesha wamnyong’onyeza mwalimu
WALIMU wanaofundisha katika shule za sekondari za Halmashauri ya Mji Mpanda mkoani Katavi, wamesema hulazimika kuwaruhusu wanafunzi wa kike ambao tayari ni wazazi kurudi nyumbani wakati wa masomo ili wakanyonyeshe watoto wao wachanga.
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Wanafunzi wamkata panga mwalimu wao
11 years ago
Habarileo09 Jul
Wanafunzi walioua mwalimu jela miaka 6
VIJANA wawili waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chemchem wilayani Mkalama katika Mkoa wa Singida, wamehukumiwa kifungo cha miaka sita kila mmoja baada ya Mahakama kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwalimu wao. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inayoendesha vikao vyake mjini Singida, ilitoa hukumu hiyo jana.