Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Radi yaua mwalimu, wanafunzi wake 6

Radi.WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita wa shule ya msingi Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma wamekufa baada ya kupigwana radi kufuatia mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha kuanzia jana asubuhi hadi mchana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu

Watu nane wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na radi ambayo chanzo chake kimeelezwa kuwa ni kunyesha kwa mvua kubwa iliyodumu kwa takribani saa tatu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji.

 

10 years ago

Habarileo

Radi yaua mwalimu, wanafunzi sita

WATU saba wakiwamo wanafunzi sita wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyakasanda na Mwalimu wa shule hiyo, Anderson Kibada wamekufa baada ya kupigwa na radi huku watu wengine 11 akiwemo Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Laurence Sesegwa (42) wakijeruhiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Radi yaua wanafunzi sita, mwalimu darasani.

Wanafunzi sita wa shule ya msingi, wamefariki dunia kwa kupigwa na radi na wengine 15 wamejeruhiwa miongoni mwao vibaya kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali na radi kunyesha katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji jana.
Tukio hilo lilitokea jana saa 5:00 asubuhi katika Shule ya Msingi Kibirizi iliyopo kwenye manispaa hiyo.

KAULI YA MGANGA
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni, Dk. Fadhili Kibaya, alisema alipokea maiti za watu wanane zikiwamo za wanafunzi sita wa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ;RADI YAUA MWALIMU NA WANAFUNZI SITA KIGOMA

 Mwalimu Merina Sekilo aliyenusurika kupigwa na radi wakati akifundisha darasa la kwanza,ambapo wanafunzi 6 walifariki Mwalimu Veronika Mtes wa shule ya msingi Kibirizi aliyepata mshtuko baada ya tukio la radi akiwa katika hospitali ya Mawenzi mkoa wa Kigoma kwa matibabu.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Kigoma,Maweni  akiongeza na Waandishi wa habari juu ya tukio la radi lililotokea hivi punde na kuuwa watu 8
Na Editha Karlo Karlo wa blog ya jamii,KigomaWATU wanane wakiwemo wanafunzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Radi yaua wanafunzi watatu

WANAFUNZI watatu wa shule ya msingi wilayani Mpanda, Katavi wamefariki dunia kwa kupigwa na radi katika matukio mawili tofauti. Akielezea matukio hayo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri...

 

10 years ago

Mtanzania

Radi yaua wanafunzi sita darasani

NA EDITHA KARLO, KIGOMA

WATU nane wakiwamo wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi.
Pamoja na vifo hivyo, wanafunzi wengine 15 wa shule hiyo walijeruhiwa vibaya.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni, Dk. Fadhili Kabaya alithibitisha kupokea miili ya marehemu pamoja na majeruhi.
Alisema tukio hilo, lilitokea jana saa 6 mchana wakati mvua kubwa iliyoambatana na radi ikinyesha.
“Tumepokea majeruhi 15 wa tukio hili,...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwalimu adaiwa kubaka wanafunzi wake wanne

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linafanya uchunguzi wa tuhuma za ubakaji wa wanafunzi wanne zinazomkabili mwalimu wa Shule ya Msingi Kimerembe wilayani Ludewa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Radi yaua mwanafunzi Mtumbya

MVUA za vuli zilizoambatana na upepo mkali na radi zinazoendelea kunyesha mkoani hapa, zimesababisha kifo cha mwanafunzi mmoja wa Shule ya Msingi Mtumbya iliyoko katika Kijiji cha Ujamaa Mtumbya wilayani...

 

5 years ago

Michuzi

Radi yaua mwanafunzi mkoani Njombe

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wanafunzi 16 na mwalimu mmoja wa shule ya sekondari Chief Kidulile iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe wamepigwa radi februari 19 majira ya saa tisa alasiri na kusababisha kifo cha mwanafunzi mmoja na kuacha majeruhi 16.
Akifafanua kuhusu tukio hilo kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa akiwa mkoani Morogoro kikazi amesema amepokea taarifa za tukio hilo kutoka kwa vijana wake aliowatuma ambapo  amesema katika tukio hilo mwanafunzi mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani