Kijana amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’
Moshi. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha 'kula ubongo' wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mji huu.
Kijana huyu aliyefahamika kwa jina la Lawrence Mramba, 20, alimshambulia mtoto huyo mwenye umri wa miaka 9 kwa panga wakati akienda shule mnamo saa 1 asubuhi Ijumaa, akampasua kichwa na kisha akaanza kutafuna ‘vipande vya ubongo wake.’
Mara baada ya kitendo hicho cha kushtusha, Mramba, aliyeonekana kuwa na matatizo ya...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jul
YATISHA: Kijana afyatuka, amuua mtoto wa miaka 9 na ‘kutafuna ubongo’
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi
11 years ago
Habarileo13 Mar
Kijana adaiwa kubaka mtoto wa miaka 16
MKAZI wa kitongoji cha Misunkumilo mjini Namanyere, Zacharia Katembo (21) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nkasi kwa madia ya kumbaka mtoto.
Mshitakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo Jumanne wiki hii, mbele ya Hakimu Ramadhani Mgalamalira, ambapo alikana mashitaka ya kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 16.
Hakimu Mgalamalira aliahirisha shauri hilo hadi Machi 23, mwaka huu, litakapotajwa tena. Pia aliamuru mshitakiwa kurejeshwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya...
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Ubani wa kutafuna wamtia matatani mtoto
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Amuua mtoto wa kambo, ajiua
MWANAKIJIJI wa Mbuye, wilayani Chato, mkoani Geita, Alone Said (25), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo, Angelina Dickson, wa mwaka mmoja na miezi minane kwa...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Mtoto amuua mama’ke kisa mali
Mume wa marehemu akiwa pembeni ya mwili wa mkewe.
Na Dustan Shekidele, UWAZI
MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Kijana Said Ally Mwinyimvua anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro akidaiwa kumuua kwa kumcharanga mapanga mama yake mzazi, Sikuzani Said (70), kisa kikidaiwa kuwa ni kunyimwa wali (ubwabwa) na kupewa mdogo wake, Abass ambaye ni mziwanda, Uwazi linakupasha.
Tukio hilo lililoacha majonzi, lilijiri wiki iliyopita nyumbani kwa familia hiyo, Kijiji cha Kungwe,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx9B74-zwzbZkbxc1aWpX3Daduttt-2pDrym1Di7LE2mwZ2Lcx-MHlDYMTQv6no1n7s0MAN0kLXgTFK7-q8jMPMh/yyakukojoa.jpg)
MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDrKScBheUD*pzJFEmABqgHEjxsX5DDSCjxk8BVNVXcu8XD-kmfLeFMr6hNd6gPMYJ3JQ0hdiZKgN5kNZl8YPYB3/hausboi.jpg)
HAUSIBOI ALIVYOKULA UBONGO WA MTOTO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t-JMrd4zSx6Zz9VP*PWVMig-WpDyEwn31Ag1OIhTHeHBtiA4dfgTyv7nW1CYhZ7EKxKZ2Hwu9YjtznkHFeMa-5v/baba.jpg?width=650)
BABA AMUUA MTOTO KWA CHUPA YA BIA