Amuua mtoto wa kambo, ajiua
MWANAKIJIJI wa Mbuye, wilayani Chato, mkoani Geita, Alone Said (25), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo, Angelina Dickson, wa mwaka mmoja na miezi minane kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO
10 years ago
GPL
MUME ATOROSHA MTOTO WA KAMBO
11 years ago
Habarileo25 Mar
Aliyelawiti mtoto wa kambo jela miaka 70
MKAZI wa kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike wilayani Mlele, Forensi Alberto (34) ametupwa jela miaka 70 kwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake kambo mwenye umri wa miaka kumi.
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Mama wa kambo amlisha kinyesi mtoto
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kufikishwa katika kituo cha polisi baada ya kudaiwa kumnyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga...
11 years ago
GPLUGOMVI WA KIMAPENZI WAPELEKEA MUME KUUA MTOTO WA KAMBO IRINGA
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Aua mtoto, ajiua kisa meseji
11 years ago
GPL
MADAI MAZITO MAMA AMUUA MTOTO
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Mtoto amuua mama’ke kisa mali
Mume wa marehemu akiwa pembeni ya mwili wa mkewe.
Na Dustan Shekidele, UWAZI
MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Kijana Said Ally Mwinyimvua anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro akidaiwa kumuua kwa kumcharanga mapanga mama yake mzazi, Sikuzani Said (70), kisa kikidaiwa kuwa ni kunyimwa wali (ubwabwa) na kupewa mdogo wake, Abass ambaye ni mziwanda, Uwazi linakupasha.
Tukio hilo lililoacha majonzi, lilijiri wiki iliyopita nyumbani kwa familia hiyo, Kijiji cha Kungwe,...