UGOMVI WA KIMAPENZI WAPELEKEA MUME KUUA MTOTO WA KAMBO IRINGA
Mwenyekiti wa mtaa wa pangani kata ya Makorongoni mjini Iringa Salum Kibaya akiutazama mwili wa mtoto Raymond Ben Mangungu (2) aliyeuwawa kwa kukabwa shingo na baba wa kambo wakati wa ugomvi wa kimapenzi kati ya mwanaume huyo na mama wa mtoto huyo usiku wa leo. Askari polisi akitazama mwili wa mtoto huyo. Hali ilivyokutwa ndani ya chumba hicho baada ya tukio. Wananchi wa Makorongini wakimtazama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAE*-R6rBWK7W-4OS-nFYiP8ZSomZahc*r41dZ6sHNFQrkJaeUo*DA9kRZb-vmVy5SBP6gWAfazdGPZGNILuVC4/Mume.jpg)
MUME ATOROSHA MTOTO WA KAMBO
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Amuua mtoto wa kambo, ajiua
MWANAKIJIJI wa Mbuye, wilayani Chato, mkoani Geita, Alone Said (25), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo, Angelina Dickson, wa mwaka mmoja na miezi minane kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZMXKJh0NS6QL-QC1NYFWPzRAdUetAGbvp1HgbNWR6CenaUHj50htqvhlIeeL8PDo1iK824qCl9QmfPOntsorTP/9000.jpg?width=650)
MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO
11 years ago
Habarileo25 Mar
Aliyelawiti mtoto wa kambo jela miaka 70
MKAZI wa kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike wilayani Mlele, Forensi Alberto (34) ametupwa jela miaka 70 kwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake kambo mwenye umri wa miaka kumi.
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Mama wa kambo amlisha kinyesi mtoto
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kufikishwa katika kituo cha polisi baada ya kudaiwa kumnyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga...
10 years ago
Habarileo19 Aug
Mume adaiwa kuua mkewe
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Tuombemungu Kata ya Ugunga wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, Mawazo Saidi, ameuawa kikatili.
11 years ago
Habarileo17 Dec
Anayedaiwa kutaka kuua mume adhaminiwa
HATIMAYE Janeth Manjuru (32) mkazi wa Moshono jijini hapa, ambaye ni mke wa ndoa wa mfanyabiashara maarufu wa madini katika mikoa ya Arusha na Manyara, Jackson Manjuru, ameachiwa kwa dhamana.
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
Mume ajilipiza kisasi kwa kuua mamba