MUME ATOROSHA MTOTO WA KAMBO
![](http://api.ning.com:80/files/NjHDmKPq-vAE*-R6rBWK7W-4OS-nFYiP8ZSomZahc*r41dZ6sHNFQrkJaeUo*DA9kRZb-vmVy5SBP6gWAfazdGPZGNILuVC4/Mume.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa MTU mmoja aliyetambulika kwa jina la Abdikadiri Opapa anasakwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke baada ya kumtorosha mtoto wa kambo na kumtishia maisha mke wake. Abdikadiri Opapa akiwa na Machunda Thomas. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni baada ya wanandoa hao kuhitilafiana na mwanaume huyo kumuiba mtoto wa kambo aitwaye Machunda Thomas (11), aliyemkuta kwa mkewe huyo na kwenda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUGOMVI WA KIMAPENZI WAPELEKEA MUME KUUA MTOTO WA KAMBO IRINGA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd663z26ByI0DUVWw*mR80LP8il7CxvrmLQDwvStIfyCURBoOXPjOWMG9D5HBIGfYHGwfCXTMMXeV45**pMWYsFd9L/KIGOGO.jpg?width=650)
KIGOGO ATOROSHA MTOTO, AMLAWITI
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Amuua mtoto wa kambo, ajiua
MWANAKIJIJI wa Mbuye, wilayani Chato, mkoani Geita, Alone Said (25), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo, Angelina Dickson, wa mwaka mmoja na miezi minane kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZMXKJh0NS6QL-QC1NYFWPzRAdUetAGbvp1HgbNWR6CenaUHj50htqvhlIeeL8PDo1iK824qCl9QmfPOntsorTP/9000.jpg?width=650)
MTOTO ALIVYONYONGWA NA BABA WA KAMBO
11 years ago
Habarileo25 Mar
Aliyelawiti mtoto wa kambo jela miaka 70
MKAZI wa kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike wilayani Mlele, Forensi Alberto (34) ametupwa jela miaka 70 kwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake kambo mwenye umri wa miaka kumi.
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mtoto alishwa kinyesi na mama wa kambo!
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kupelekwa polisi baada ya kunyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga na kumlisha kinyesi chake kwa madai kuwa amejisaidia ndani ya nyumba yake.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Mama wa kambo amlisha kinyesi mtoto
MWANAMKE mmoja amekamatwa na raia wema katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, na kufikishwa katika kituo cha polisi baada ya kudaiwa kumnyanyasa mtoto wa kambo wa miaka minne, kwa kumpiga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaHqJgf-8CwvOn2b3hgxq*sL9DplvEp7zQoaEy31C7*9ticLm0-Ct9LKH6oVSmkVGU*5imNwJt*o-Su2jOpsR*9B/WAGOMBEA.jpg)
MUME, MCHEPUKO WAGOMBEA MTOTO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MMaj31ebAY8d93oI-*ahKjJ0lK8valhJ9GkFTgZebrdmlVOyw7ZzBOfAuLvDvo5XxzlCMobjdKEmPZbKi*yHYORS6aGfbW0q/jack.jpg?width=650)
MUME AMTETEA JACK WA CHUZI KUKOSA MTOTO