Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUME AMTETEA JACK WA CHUZI KUKOSA MTOTO

Stori: Imelda Mtema MASKINI! Mume wa mwigizaji wa Bongo Movies, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amewataka watu wanaomsema mkewe huyo kuwa hapati mtoto, waache kwani wanajisumbua bure suala hilo ni la Mwenyezi Mungu. Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, akiwa na mumewe Gadner Dibibi. Akizungumza na gazeti hili, Dibibi alisema alipomuoa Jack siyo kwamba alikuwa akifi kiria mtoto ila alijua mtoto analetwa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JACK CHUZI: MTASUBIRI SANA SIACHIKI NG'O

Stori: Imelda Mtema
MWIGIZAJI Bongo, Jacqueline Pentenzel ‘Jack Chuz’, amewabwatukia mashostisto zake ambao wanaomba aachike kwa mumewe Gardner Dibibi, kuwa wanajisumbua kwani hatoachika. Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’. Akiizungumzia ndoa yake yenye umri wa zaidi ya mwaka mmoja, Jack alisema hata wakigombana huwa wanapatana haraka: “Najua wapo wanaokesha kuomba tuachane, niwaambie tu,...

 

11 years ago

GPL

MUME WA JACK CHUZ APATA AJALI

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
MUME wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi amesherehekea Sikukuu ya Idd vibaya baada ya kupata ajali wakati akienda msikitini. Mume wa msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuzi’, Gadner Dibibi akionyesha majeraha baada ya ajali hiyo. Chanzo cha habari kilitiririka kuwa, Gadner alipata ajali hiyo maeneo ya Mlimani...

 

10 years ago

GPL

MUME:SIKUBALI NDOA YANGU NA JACK IVUNJIKE!

Mwandishi Wetu/ijumaawikienda
MUME wa mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, Gadna Dibibi amefunguka kuwa kamwe hawezi kukubali ndoa yake ivunjike kirahisi, atapambana hadi dakika ya mwisho.Kauli hiyo ya Gadna ameitoa ikiwa ni siku chache tangu vyombo vya habari viripoti kuwa wawili hao waliooana mwaka 2013, wamemwagana na kila mtu anaishi kivyake. Mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, akiwa...

 

11 years ago

GPL

MUME WA JACK PATRICK AMNASA SALHA ISRAEL

Stori: Imelda Mtema SIRI imefichuka! Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa kukamatwa na unga, Jacqueline Fitzpatrick Cliff, Abdulatif Fundikira ‘Tifu’ anadaiwa kumnasa kimalavu Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Mume wa Jack Patrick akiwa na Salha Israel. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Tifu, wawili hao hivi sasa wako kwenye ‘mahaba...

 

11 years ago

GPL

JACK CHUZ ASHANGAA KUKOMALIWA AMZALIE MUME!

Stori: Mrisho Mapeyo
Msanii wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ amewapa makavu laivu baadhi ya watu wanaoshangaa na kuhoji inakuwaje anatimiza mwaka mmoja ndani ya ndoa bila kuzaa. Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ akiwa na mumewe siku ya ndoa yao. Akizungumzia maneno ambayo amekuwa akiyasikia kutoka hata kwa watu wake wa karibu wakiwemo wasanii wenzake, Jack alisema anawashangaa kwa...

 

11 years ago

GPL

SALHA, MUME WA JACK PATRICK WANASWA WAKIDENDEKEA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao. Salha Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya kijamii,...

 

10 years ago

GPL

JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz, amefunguka kuwa mume wake, Gadner Dibibi anapenda mwanamke mwenye mwili mkubwa yaani bonge. Muigizaji Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Jack alisema isingekuwa kuilinda ndoa, asingekubali auachie mwili wake aonekane bonge nyanya kiasi hicho alichonacho hivi...

 

10 years ago

GPL

JACK CHUZ: ETI MUME ANIZUIE KUIGIZA, ANAANZAJE!

Na Imelda Mtema
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ amefunguka kuwa madai yaliyozagaa kuwa mumewe, Gadna Dibibi amemzuia kuigiza hayana ukweli kwani naye anapenda kumuona runingani. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ akiwa na mume wake Gadna Dibibi. Jack alifunguka hayo alipokuwa akijibu swali la paparazi wetu lililodai kuwa mume wake amempiga mkwara...

 

10 years ago

GPL

HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK

Stori: Imelda Mtema
DUNIA ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ nchini China, mumewe, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ amefunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Amani linakupa mchapo kamili. Mume wa ‘Jack Patrick’, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ akifunga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani