MUME:SIKUBALI NDOA YANGU NA JACK IVUNJIKE!

Mwandishi Wetu/ijumaawikienda MUME wa mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, Gadna Dibibi amefunguka kuwa kamwe hawezi kukubali ndoa yake ivunjike kirahisi, atapambana hadi dakika ya mwisho.Kauli hiyo ya Gadna ameitoa ikiwa ni siku chache tangu vyombo vya habari viripoti kuwa wawili hao waliooana mwaka 2013, wamemwagana na kila mtu anaishi kivyake. Mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, akiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Gadna: Sikubali Ndoa Yangu na Jack Ivunjike!
Mume wa mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, Gadna Dibibi amefunguka kuwa kamwe hawezi kukubali ndoa yake ivunjike kirahisi, atapambana hadi dakika ya mwisho.Kauli hiyo ya Gadna ameitoa ikiwa ni siku chache tangu vyombo vya habari viripoti kuwa wawili hao waliooana mwaka 2013, wamemwagana na kila mtu anaishi kivyake.
“Sijampa talaka Jack hivyo bado ataendelea kuwa mke wangu halali, nitahakikisha hilo linabaki kuwa hivyo. Kama kupishana kauli, tulipishana na ni vitu vya kawaida lakini...
11 years ago
GPL
MUME WA JACK CHUZ APATA AJALI
11 years ago
GPL
MUME WA JACK PATRICK AMNASA SALHA ISRAEL
11 years ago
GPL
SALHA, MUME WA JACK PATRICK WANASWA WAKIDENDEKEA
11 years ago
GPL
JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE
9 years ago
GPL
MUME AMTETEA JACK WA CHUZI KUKOSA MTOTO
11 years ago
GPL
JACK CHUZ ASHANGAA KUKOMALIWA AMZALIE MUME!
11 years ago
GPL
JACK CHUZ: ETI MUME ANIZUIE KUIGIZA, ANAANZAJE!
10 years ago
GPL
HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK