HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK
![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe7Tcl-OiU5yBg-*T*5gtNjycqoJBkM555sM4saJI97Xzlj81QuC9j8GwY7BTkSDYAsknxJQGQLM8WBbJdNSxaof/FRONTAMANI1.jpg)
Stori: Imelda Mtema DUNIA ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ nchini China, mumewe, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ amefunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Amani linakupa mchapo kamili. Mume wa ‘Jack Patrick’, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ akifunga...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXRvs8mJ78mebHAqd759AoRg9XjcJPkr2wrCBo7Cs6tofj6Lagi2WwB4-koM5dtKSyqVskEuJit9uO9siBqZL9e/jack.jpg)
JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Jack Patrick kilio upya gerezani!
Msanii na mwanamitindo Jack Patrick.
Na Brighton Masalu
JACK Patrick, msanii, mwanamitindo na mmoja wa Watanzania wanaotumikia kifungo nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya, ametoa kilio upya akiwa gerezani, baada ya kuwashutumu marafiki zake kushindwa kumtembelea, licha ya kufika mara kwa mara katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa barani Asia.
Kikizungumza na gazeti hili juzikati, chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, ambacho kilimtembelea Jack katika gereza lililo mji wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDK76YMVZi0d5I-w7rPbIPDMi--Q5zwD0DIlAYIWWcMfQA2WdNn6mneKQE2QK9I5pFCijqALOT2E5TaCXYoPfP3g/JACK.jpg)
KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoaLNY5orpDsajwlMqB1o77eSgUhA16CWSzZbrEKxogWT5jX-MCfG3tmwMXLbhoWTaKi8aMozgzxooz*lGseNyjR/JACK.jpg?width=650)
JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e-Lj4oEYAcInwmiHEZ-Sx3rytol9C*ymP637PrMNzEq-AACtxfr6ccBxhiW9q8NX24rIxUCKQwVVjXNy7ElvyPx/Jack.jpg)
JACK PATRICK AENDELEZA MITINDO GEREZANI CHINA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO7USERnwfsUWitz2u4vKLwcPEEegy2AHEdXU0aHLYqvhXCCk8YdTxDFoI3bVRDCqTNIhFlje84ftiPmaKfUDEng/2patrick.jpg?width=650)
JACK PATRICK ALA ‘BIRTHDAY’ GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND20CF-pqolYJEPqqL4ztm9IqUCBjcU09LEUgHmIL1PEGbFrjKWCTKdFTyTIXPzAfmBhhn24TdYMDd22LMVE11A-/batuli.jpg?width=650)
SALHA, MUME WA JACK PATRICK WANASWA WAKIDENDEKEA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOYPXPo6XbHJdTCCTNK4rkNrxLhfAQ4NMuV-SWk7ScfQo-BdVCtjigTFPXVs1*CQ66e17-nyn*Jz3sWDPiuiUh5h/salha.jpg?width=650)
MUME WA JACK PATRICK AMNASA SALHA ISRAEL
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.
Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...