JACK PATRICK ALA ‘BIRTHDAY’ GEREZANI
![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO7USERnwfsUWitz2u4vKLwcPEEegy2AHEdXU0aHLYqvhXCCk8YdTxDFoI3bVRDCqTNIhFlje84ftiPmaKfUDEng/2patrick.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema MWANAMITINDO Jacqueline Patrick ambaye yuko nyuma ya nondo, Macau nchini China kwa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa (Januari 13) mwaka huu akiwa gerezani. Jacqueline Patrick. Mpenzi wake wa sasa Juma Khalid ’Jux’, amemwandikia ujumbe mzito mpenzi wake huyo kupitia Mtandao wa Kijamii wa Instagram na kueleza hisia zake. “Kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXRvs8mJ78mebHAqd759AoRg9XjcJPkr2wrCBo7Cs6tofj6Lagi2WwB4-koM5dtKSyqVskEuJit9uO9siBqZL9e/jack.jpg)
JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Jack Patrick kilio upya gerezani!
Msanii na mwanamitindo Jack Patrick.
Na Brighton Masalu
JACK Patrick, msanii, mwanamitindo na mmoja wa Watanzania wanaotumikia kifungo nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya, ametoa kilio upya akiwa gerezani, baada ya kuwashutumu marafiki zake kushindwa kumtembelea, licha ya kufika mara kwa mara katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa barani Asia.
Kikizungumza na gazeti hili juzikati, chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, ambacho kilimtembelea Jack katika gereza lililo mji wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDK76YMVZi0d5I-w7rPbIPDMi--Q5zwD0DIlAYIWWcMfQA2WdNn6mneKQE2QK9I5pFCijqALOT2E5TaCXYoPfP3g/JACK.jpg)
KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoaLNY5orpDsajwlMqB1o77eSgUhA16CWSzZbrEKxogWT5jX-MCfG3tmwMXLbhoWTaKi8aMozgzxooz*lGseNyjR/JACK.jpg?width=650)
JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e-Lj4oEYAcInwmiHEZ-Sx3rytol9C*ymP637PrMNzEq-AACtxfr6ccBxhiW9q8NX24rIxUCKQwVVjXNy7ElvyPx/Jack.jpg)
JACK PATRICK AENDELEZA MITINDO GEREZANI CHINA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe7Tcl-OiU5yBg-*T*5gtNjycqoJBkM555sM4saJI97Xzlj81QuC9j8GwY7BTkSDYAsknxJQGQLM8WBbJdNSxaof/FRONTAMANI1.jpg)
HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.
Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Mkuu wa Mkoa ala Krismasi gerezani