KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI

Stori: Mayasa Mariwata Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na madawa ya kulevya. Martin Kadinda wakati akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Habari… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
KADINDA ‘AMMISS’ JACK PATRICK
11 years ago
GPL
JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Jack Patrick kilio upya gerezani!
Msanii na mwanamitindo Jack Patrick.
Na Brighton Masalu
JACK Patrick, msanii, mwanamitindo na mmoja wa Watanzania wanaotumikia kifungo nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya, ametoa kilio upya akiwa gerezani, baada ya kuwashutumu marafiki zake kushindwa kumtembelea, licha ya kufika mara kwa mara katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa barani Asia.
Kikizungumza na gazeti hili juzikati, chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, ambacho kilimtembelea Jack katika gereza lililo mji wa...
11 years ago
GPL
JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI
10 years ago
GPL
JACK PATRICK AENDELEZA MITINDO GEREZANI CHINA
11 years ago
GPL
JACK PATRICK ALA ‘BIRTHDAY’ GEREZANI
10 years ago
GPL
HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK
10 years ago
GPL
JACK PATRICK ANENA MAZITO
11 years ago
GPL
JACK PATRICK MAZITO TENA