Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUME WA JACK PATRICK AMNASA SALHA ISRAEL

Stori: Imelda Mtema SIRI imefichuka! Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa kukamatwa na unga, Jacqueline Fitzpatrick Cliff, Abdulatif Fundikira ‘Tifu’ anadaiwa kumnasa kimalavu Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Mume wa Jack Patrick akiwa na Salha Israel. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Tifu, wawili hao hivi sasa wako kwenye ‘mahaba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SALHA, MUME WA JACK PATRICK WANASWA WAKIDENDEKEA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao. Salha Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya kijamii,...

 

10 years ago

GPL

HUKU MKEWE AKISOTA GEREZANI MISS TZ AOLEWA NA MUME WA JACK PATRICK

Stori: Imelda Mtema
DUNIA ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’ nchini China, mumewe, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ amefunga ndoa ya siri na Miss Tanzania 2011, Salha Israel, Amani linakupa mchapo kamili. Mume wa ‘Jack Patrick’, Abdulatif Fundikira ‘Tif’ akifunga...

 

9 years ago

GPL

SALHA ISRAEL ATULIZWA NA NDOA

Miss Tanzania 2011, Salha Israel kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa tangu aingie kwenye ndoa na Abdulatif Fundikira, ametulizwa kwa kiasi kikubwa. Akizungumza na Amani, Salha alisema kwa sasa ameachana na mitoko isiyokuwa na mpangilio pamoja na kucheza filamu kutokana na mumewe kutopendezewa.   ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1MWeafM

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SALHA ISRAEL - PART II

Mwangalie na msikilize Miss Tanzania 2011, Salha Israel alipokuwa akifungukia mambo mbalimbali kuhusiana na maisha yake ndani ya kipindi maridadi cha 'MTU KATI' kinachoruka GLOBAL TV…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA MISS TZ 2011 SALHA ISRAEL

MISS Tanzania 2011, Salha Israel akilonga na Global TV Online katika kipindi chake murua cha MTU KATI ambapo amefunguka kuhusu mambo mbalimbali yakiwemo mapenzi, uchafu kambi ya Miss Tanzania na mengine mengi. UNGANA NASI! KWA VIDEOS ZAIDI ZA GLOBAL TV ONLINE, TEMBELEA: HAPA

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK ANENA MAZITO

Imelda Mtema/Ijumaa
Wakati akiendelea kutumikia kifungo akiwa jela huko Macau, Hong Kong nchini China, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff  ‘Jack Patrick’ amenena mazito juu ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Juma Khalid ‘Jux’, Vanessa Mdee, Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. Modo maarufu Bongo, Jacqueline...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI

Stori:  Shakoor Jongo Nini kinaendelea? Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ anadaiwa kuyeyuka gerezani. Video Queen wa Bongo, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Kwa mujibu wa ‘mtu wetu’ aliyeambatana na rafiki zake Jack kwenda...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK MATESO SAA 48

Jack Patrick baada ya kukamatwa na dawa za kulevya. Stori:  Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo. Mwanamitindo Jacqueline… ...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK KAACHIWA HURU?

Stori: IMELDA MTEMA
UTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu aliyedaiwa kushikiliwa nyuma ya ndondo kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, Jacqueline Patrick ameachiwa huru. Jacqueline Patrick. Utata huo uliibuka mapema wiki hii mara baada ya akaunti ya modo huyo katika mtandao wa Instagram, kuposti picha mpya za Jack hali iliyowafanya wafusi wa mtandao huo kuamini kwamba yupo huru....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani