Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JACK PATRICK MATESO SAA 48

Jack Patrick baada ya kukamatwa na dawa za kulevya. Stori:  Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo. Mwanamitindo Jacqueline… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JACK PATRICK KAACHIWA HURU?

Stori: IMELDA MTEMA
UTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu aliyedaiwa kushikiliwa nyuma ya ndondo kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, Jacqueline Patrick ameachiwa huru. Jacqueline Patrick. Utata huo uliibuka mapema wiki hii mara baada ya akaunti ya modo huyo katika mtandao wa Instagram, kuposti picha mpya za Jack hali iliyowafanya wafusi wa mtandao huo kuamini kwamba yupo huru....

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK ANENA MAZITO

Imelda Mtema/Ijumaa
Wakati akiendelea kutumikia kifungo akiwa jela huko Macau, Hong Kong nchini China, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff  ‘Jack Patrick’ amenena mazito juu ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Juma Khalid ‘Jux’, Vanessa Mdee, Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. Modo maarufu Bongo, Jacqueline...

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK HUKUMU NYEPESIII!

Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
 BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa adhabu ikawa ndogo zaidi, Amani linaibumburua habari kamili. Jack Patrick wakati alipokamtwa. HUKUMU NYEPESI? Kwa mujibu...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI

Stori:  Shakoor Jongo Nini kinaendelea? Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ anadaiwa kuyeyuka gerezani. Video Queen wa Bongo, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Kwa mujibu wa ‘mtu wetu’ aliyeambatana na rafiki zake Jack kwenda...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK MAZITO TENA

Stori: Waandishi Wetu
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo. Jacqueline Patrick ‘Jack’. Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19, mwaka jana katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea Bangkok, Thailand akiwa na kete 57 (kilo 1.1) za unga aina ya heroin tumboni zikiwa na...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK AANGUA KILIO KORTINI

Stori: Shakoor Jongo
HATIMAYE modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ amepandishwa kortini kwa mara ya kwanza huko Macau nchini China, Aprili 10, mwaka huu kwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yakiwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223 huku ishu kubwa kwa muda wote aliokuwa mahakamani ikiwa ni kuangua kilio kila wakati. Kete zinazosadikiwa kukutwa na...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK AZIDI KUMTESA JUX

Stori: Musa Mateja MOYO unauma! Staa wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux Vuitton’ amekiri kuteswa na ishu ya mwanamitindo Jacqueline Fitzpatric Cliff ‘Jack Patrick’ akiomba asiulizwe habari za modo huyo aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa yupo nyuma ya nondo kwa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ huko Macau, Hong Kong nchini China. Staa wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux...

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK AMETUMA UJUMBE MZITO

Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake. Mwanamitindo wa Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa chini ya ulinzi China. Akizungumza...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA KUMTOA JACK PATRICK WAUNDWA

Na Erick Evarist
FAMILIA ya modo wa Bongo, Jacqueline Patrick aliyenaswa kwa msala wa madawa ya kulevya Macau- China inadaiwa kuunda mtandao kwa ajili ya kufanikisha zoezi la kumchomoa mrembo huyo mikononi mwa vyombo vya sheria. Jacqueline Patrick. Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na familia hiyo (jina lipo), familia hiyo imeanza mchakato huo hivi karibuni hasa baada ya kudadisi kuhusiana na sheria za eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani