MTANDAO WA KUMTOA JACK PATRICK WAUNDWA
![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2AVQZLGbW1800N5AC0griO-zG8AzDOjBQalTTPAYZncaUIbQo*AcHdTe87Lm0ZWcWEGeYTYaoDi9gjkWs*asRx/jack.jpg?width=650)
Na Erick Evarist FAMILIA ya modo wa Bongo, Jacqueline Patrick aliyenaswa kwa msala wa madawa ya kulevya Macau- China inadaiwa kuunda mtandao kwa ajili ya kufanikisha zoezi la kumchomoa mrembo huyo mikononi mwa vyombo vya sheria. Jacqueline Patrick. Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na familia hiyo (jina lipo), familia hiyo imeanza mchakato huo hivi karibuni hasa baada ya kudadisi kuhusiana na sheria za eneo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7qGzZ2H1w8XbAEK5T0s2ciPRb6PmPlTUvMoXE4WAEOKM-gVDD5iNYCShOTEF7cGYr*L-MzTAodHqaoqI4mIAvir/JACKc.jpg)
MTANDAO WA UNGA WA JACK PATRICK UNATISHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55IbhPRC1Lr9IwP5H3Ut*0vYVmLF7QIi7DrlcGx7PKh5GAdfJMA*wKQOdzoYuxorViVkmw-SQkumglixsx*rNQaT/JACK.jpg?width=650)
JACK PATRICK KAACHIWA HURU?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXRvs8mJ78mebHAqd759AoRg9XjcJPkr2wrCBo7Cs6tofj6Lagi2WwB4-koM5dtKSyqVskEuJit9uO9siBqZL9e/jack.jpg)
JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYCm*CTT6sEv3y9SWhGpguUtpopv17zXUvYHNohjI-AezmUqBY9JxKbrLKtuvyhR9agtPBYnBViIKswWqn5TEj-8/jackp.jpg?width=650)
JACK PATRICK MAZITO TENA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegChxy9kdc3z6Yes7x9tag9ExkiYjjMooYqkjJin6-*8m6Y3mB4XoDhT9mcbnXwYVXNMJQqJmWoMuOttp8WEAgOBo/jack.jpg?width=650)
JACK PATRICK MATESO SAA 48
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv8irXPhnYBAniE-sIn7Sr576Ho8ZaWDVPzUD37YJDz0T2CMWAkI7RxZFGv7700-mDfYDcCJhbp3if07LGtyv07j/FRONTIJUMAA.jpg)
JACK PATRICK ANENA MAZITO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxapIxJE1hS2Wic7Q0EKoAzS38fnlcurGWI8hnUUTnb4CXH2SAMd-YE2gCYdHSsDoKvYkpLNgCqG5btIOAjzcDA3/FRONTAMANI.jpg?width=650)
JACK PATRICK HUKUMU NYEPESIII!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoaLNY5orpDsajwlMqB1o77eSgUhA16CWSzZbrEKxogWT5jX-MCfG3tmwMXLbhoWTaKi8aMozgzxooz*lGseNyjR/JACK.jpg?width=650)
JACK PATRICK AFYA TETE GEREZANI
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Jack Patrick kilio upya gerezani!
Msanii na mwanamitindo Jack Patrick.
Na Brighton Masalu
JACK Patrick, msanii, mwanamitindo na mmoja wa Watanzania wanaotumikia kifungo nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya, ametoa kilio upya akiwa gerezani, baada ya kuwashutumu marafiki zake kushindwa kumtembelea, licha ya kufika mara kwa mara katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa barani Asia.
Kikizungumza na gazeti hili juzikati, chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, ambacho kilimtembelea Jack katika gereza lililo mji wa...