MTANDAO WA UNGA WA JACK PATRICK UNATISHA
![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7qGzZ2H1w8XbAEK5T0s2ciPRb6PmPlTUvMoXE4WAEOKM-gVDD5iNYCShOTEF7cGYr*L-MzTAodHqaoqI4mIAvir/JACKc.jpg)
Jack akiwa chini ya ulinzi baada ya kunaswa na dawa za kulevya China. Na Mwandishi Wetu BADO habari ya mjini ni skendo ya kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’ inayomtafuna Video Queen wa Bongo, Jacqueline Clifford Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ ambaye inadaiwa kuwa mtandao wake wa biashara hiyo ni wa kutisha, Ijumaa limetonywa. Jack Patrick. Habari kutoka kwa rafiki wa karibu wa Jack ambaye aliomba…...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2AVQZLGbW1800N5AC0griO-zG8AzDOjBQalTTPAYZncaUIbQo*AcHdTe87Lm0ZWcWEGeYTYaoDi9gjkWs*asRx/jack.jpg?width=650)
MTANDAO WA KUMTOA JACK PATRICK WAUNDWA
Na Erick Evarist
FAMILIA ya modo wa Bongo, Jacqueline Patrick aliyenaswa kwa msala wa madawa ya kulevya Macau- China inadaiwa kuunda mtandao kwa ajili ya kufanikisha zoezi la kumchomoa mrembo huyo mikononi mwa vyombo vya sheria. Jacqueline Patrick. Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na familia hiyo (jina lipo), familia hiyo imeanza mchakato huo hivi karibuni hasa baada ya kudadisi kuhusiana na sheria za eneo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYCm*CTT6sEv3y9SWhGpguUtpopv17zXUvYHNohjI-AezmUqBY9JxKbrLKtuvyhR9agtPBYnBViIKswWqn5TEj-8/jackp.jpg?width=650)
JACK PATRICK MAZITO TENA
Stori: Waandishi Wetu
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo. Jacqueline Patrick ‘Jack’. Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19, mwaka jana katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea Bangkok, Thailand akiwa na kete 57 (kilo 1.1) za unga aina ya heroin tumboni zikiwa na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegChxy9kdc3z6Yes7x9tag9ExkiYjjMooYqkjJin6-*8m6Y3mB4XoDhT9mcbnXwYVXNMJQqJmWoMuOttp8WEAgOBo/jack.jpg?width=650)
JACK PATRICK MATESO SAA 48
Jack Patrick baada ya kukamatwa na dawa za kulevya. Stori:Â Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo. Mwanamitindo Jacqueline… ...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXRvs8mJ78mebHAqd759AoRg9XjcJPkr2wrCBo7Cs6tofj6Lagi2WwB4-koM5dtKSyqVskEuJit9uO9siBqZL9e/jack.jpg)
JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI
Stori: Shakoor Jongo Nini kinaendelea? Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ anadaiwa kuyeyuka gerezani. Video Queen wa Bongo, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Kwa mujibu wa ‘mtu wetu’ aliyeambatana na rafiki zake Jack kwenda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55IbhPRC1Lr9IwP5H3Ut*0vYVmLF7QIi7DrlcGx7PKh5GAdfJMA*wKQOdzoYuxorViVkmw-SQkumglixsx*rNQaT/JACK.jpg?width=650)
JACK PATRICK KAACHIWA HURU?
Stori: IMELDA MTEMA
UTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu aliyedaiwa kushikiliwa nyuma ya ndondo kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, Jacqueline Patrick ameachiwa huru. Jacqueline Patrick. Utata huo uliibuka mapema wiki hii mara baada ya akaunti ya modo huyo katika mtandao wa Instagram, kuposti picha mpya za Jack hali iliyowafanya wafusi wa mtandao huo kuamini kwamba yupo huru....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv8irXPhnYBAniE-sIn7Sr576Ho8ZaWDVPzUD37YJDz0T2CMWAkI7RxZFGv7700-mDfYDcCJhbp3if07LGtyv07j/FRONTIJUMAA.jpg)
JACK PATRICK ANENA MAZITO
Imelda Mtema/Ijumaa
Wakati akiendelea kutumikia kifungo akiwa jela huko Macau, Hong Kong nchini China, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ amenena mazito juu ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Juma Khalid ‘Jux’, Vanessa Mdee, Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. Modo maarufu Bongo, Jacqueline...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxapIxJE1hS2Wic7Q0EKoAzS38fnlcurGWI8hnUUTnb4CXH2SAMd-YE2gCYdHSsDoKvYkpLNgCqG5btIOAjzcDA3/FRONTAMANI.jpg?width=650)
JACK PATRICK HUKUMU NYEPESIII!
Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
 BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa adhabu ikawa ndogo zaidi, Amani linaibumburua habari kamili. Jack Patrick wakati alipokamtwa. HUKUMU NYEPESI? Kwa mujibu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6ZFuLsTz61W51yL1YjLsNHgNnV85QIQC-K2ov0DyAO6dhMz5NJSa9F91GJjIuUuipHneaCEfl6AU9KL1v1w7vYTkBgYXfOC/jack.jpg)
JACK PATRICK AMETUMA UJUMBE MZITO
Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake. Mwanamitindo wa Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ akiwa chini ya ulinzi China. Akizungumza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDK76YMVZi0d5I-w7rPbIPDMi--Q5zwD0DIlAYIWWcMfQA2WdNn6mneKQE2QK9I5pFCijqALOT2E5TaCXYoPfP3g/JACK.jpg)
KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI
Stori: Mayasa Mariwata
Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na madawa ya kulevya. Martin Kadinda wakati akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Habari… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania