JACK PATRICK AANGUA KILIO KORTINI
![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVVbe5tbascxHzMx0b*zQCkuCi7IhFHE*AZ4rp6IC3miObRo5u-ACOQWnHug6wD0e4vVJPtqekj65ZfSQIfam-Na/jack.jpg?width=650)
Stori: Shakoor Jongo HATIMAYE modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ amepandishwa kortini kwa mara ya kwanza huko Macau nchini China, Aprili 10, mwaka huu kwa kukutwa na madawa ya kulevya tumboni aina ya heroin kete 57 au kilo 1.1 yakiwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 223 huku ishu kubwa kwa muda wote aliokuwa mahakamani ikiwa ni kuangua kilio kila wakati. Kete zinazosadikiwa kukutwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Mke wa Cheka aangua kilio kortini
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Jack Patrick kilio upya gerezani!
Msanii na mwanamitindo Jack Patrick.
Na Brighton Masalu
JACK Patrick, msanii, mwanamitindo na mmoja wa Watanzania wanaotumikia kifungo nchini China kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya, ametoa kilio upya akiwa gerezani, baada ya kuwashutumu marafiki zake kushindwa kumtembelea, licha ya kufika mara kwa mara katika nchi hiyo yenye uchumi mkubwa barani Asia.
Kikizungumza na gazeti hili juzikati, chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, ambacho kilimtembelea Jack katika gereza lililo mji wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08csrO-cNezDBmuzYeaUGSQ1fMJDimb1hQJhyCjIXO4J*g1-Vvd9PESeKa1ycIai4QcM31rxRKDV22*lIMZOLMi25/wema.jpg)
WEMA AANGUA KILIO!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Diamond aangua kilio ukumbini!
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda, twende na Ijumaa Wikienda.
Tukio hilo ambao bado limo midomoni mwa mashabiki wake, lilijiri usiku wa kuamkia Boxing Day (Desemba 26, 2015) ndani ya ‘Uwanja wa Taifa wa Burudani’ Dar Live jijini Dar ambapo nyota huyo alikuwa...
9 years ago
Bongo Movies26 Aug
Ray Aangua Kilio Ukumbini!
BONGE la soo! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ hivi karibuni alijikuta akiangua kilio ukumbini baada ya mshindi wa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza kufananishwa na marehemu Steven Kanumba.
Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kulipokuwa na fainali za Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo washiriki 10 ndiyo walikuwa wakiwania kitita cha shilingi milioni 50.
Mara baada ya mshindi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LsR20rl7c1olsWvcDTrY65QOPCI2T5XjMW71oN7J-W2IzfX1zmsUbwfayEeH-svrHD0iyD-ZQKbtmmiGEL-*A*c/Shamsa.jpg?width=650)
SHAMSA AANGUA KILIO UWANJANI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U-QNuL7WAxmQMls22R4tr*nXUdo15BMlONmeH2vvuHMPtxIwl7xnvxr-OXvKY3mFilbHV8WkFgnMIbVWsazNgO51e85Aaod9/IMG20150914WA0002.jpg?width=650)
PENNY AANGUA KILIO BSS
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmwZdZoPR3Zeg7wuPGV4pCaxcoYDVh0KTlCWcUbDpB1*5Q7Br9D*lGCmCMjJU6Y2Rxve2cUd9dvvFPgyJ81qsXu/MAINDA.jpg?width=650)
MAINDA AANGUA KILIO KANISANI
9 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Sep
Mgombea urais aangua kilio Jukwaani
Mgombea urais wa Zanzibar kwa mwavuli wa CHAUMA, Mohamed Masoud Rashid akipiga magoti akiwa juu ya jukwaa kuashiria unyeyekevu kwa Rais Jakaya Kikwete, akimuomba kuwaachia huru Masheikh wa Uamsho ambao wako gerena kwa muda mrefu. By […]
The post Mgombea urais aangua kilio Jukwaani appeared first on Mzalendo.net.