JACK CHUZI: MTASUBIRI SANA SIACHIKI NG'O
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoydHe1HEACl00ggq6Vscz-C4gdp2aVs1DJPaRoOQRioYx9-q9us6nlTwpABfiDGSsd3dAJ4Npu4zYKhkyKHdB8/jack.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI Bongo, Jacqueline Pentenzel ‘Jack Chuz’, amewabwatukia mashostisto zake ambao wanaomba aachike kwa mumewe Gardner Dibibi, kuwa wanajisumbua kwani hatoachika. Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’. Akiizungumzia ndoa yake yenye umri wa zaidi ya mwaka mmoja, Jack alisema hata wakigombana huwa wanapatana haraka: “Najua wapo wanaokesha kuomba tuachane, niwaambie tu,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MMaj31ebAY8d93oI-*ahKjJ0lK8valhJ9GkFTgZebrdmlVOyw7ZzBOfAuLvDvo5XxzlCMobjdKEmPZbKi*yHYORS6aGfbW0q/jack.jpg?width=650)
MUME AMTETEA JACK WA CHUZI KUKOSA MTOTO
11 years ago
GPL31 Jul
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0rHXrPktFjVvCXykzJYrbbHKXyJ1G6PzL0JZOF8g-hWTN9Nl8LFywGjBi8Ht9Wz7dt-DS5DV5jJrYuxiDhsq588/snurfa.jpg)
SNURA: SIACHIKI KWA DJ
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fmojbSGpCVY9TW54lhlj-ptX7F*gkaWxvLUUMfsGtJMtgH59svzjuFjg0jwmEqXG5NomQBFZbiGCm0rxkjtgMs/hands.in.the.air.gif?width=650)
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.
Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_01591.jpg)
MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA WAKIKARIBISHWA NA SHOT ZA JACK DANIEL’S LEO