SNURA: SIACHIKI KWA DJ
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0rHXrPktFjVvCXykzJYrbbHKXyJ1G6PzL0JZOF8g-hWTN9Nl8LFywGjBi8Ht9Wz7dt-DS5DV5jJrYuxiDhsq588/snurfa.jpg)
Stori: Denis Mtima MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter hivyo hawezi kuachika. Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia kijanja na mpenzi wake DJ Hunter. Akipiga stori na mwandishi wetu,…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoydHe1HEACl00ggq6Vscz-C4gdp2aVs1DJPaRoOQRioYx9-q9us6nlTwpABfiDGSsd3dAJ4Npu4zYKhkyKHdB8/jack.jpg?width=650)
JACK CHUZI: MTASUBIRI SANA SIACHIKI NG'O
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv-iAOlD6LXFirH-R58DYhojMfRFuOq4BmZ0biE3vgQxJB-18DcrZLyBHGZjQUtu9Srwm5bMcP5*uWnmAzbbABex/Snura.jpg)
SNURA: SIJAZAA, KWA NINI MNANIZALISHA?
11 years ago
GPL01 Jan
SNURA AWAPAGAWISHA MASHABIKI KWA MAUNO DAR LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QdRHhKxeimUZcp5Z*21CoF4Xn7p2gyAVtRyz4X4hUexITG8Zar*YXUq0dkAnnXeuN8oNhVjT5FP6qlk8S79Mv9*/snura.jpg?width=650)
SNURA TUHUMA NZITO
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Snura Aingizwa Mjini
Staa alieanzia Bongo Movie na kuingia kwenye Bongo Fleva Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ simu yake ya mkononi imetekwa na wajanja wa mjini kwa kuswap na simu anazopigiwa yeye kwenda kwa mtu mwingine ambaye hata hamjui wala hana mahusiano naye na hajui alitumia njia gani kuiteka hajui.
“Hata sielewi mtu huyu kafanyeje hadi namba yangu kuitumia yeye, na mbaya zaidi ni pale ambapo kilaanapobahatisha namba ya rafiki yangu huomba atumiwe pesa nahisi lengo lake kuu ilikuwa ni kujipatia pesa kwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JmmD6*QKY7HlFHl12AFhvemiBNb9WmIm9cCZ1lipxfDgBzxtXUsLPHfEQZA6DPxKX*IeNUo-a5F4jFumt2rAMK2/snura.jpg?width=650)
SNURA AMBWATUKIA SHILOLE
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Snura:Sitaki Unafiki
MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.
“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnNnjeiF2RdreM2kFVSd7RE8S55zlavJJSUbPKd5sBdu5niSevU7HyTKZPSXq2N0RvV4UultsYxFUW*Sgh1hZFa/snura.jpg)
SNURA ATUMIKA KUTAPELI