Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SNURA: SIJAZAA, KWA NINI MNANIZALISHA?

Gladness Mallya/Ijumaa
Msanii anayefanya muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ameeleza kushangazwa kwake na taarifa zinazozidi kuenea kuwa amejifungua, jambo ambalo anadai eti siyo kweli. Msanii anayefanya muziki na filamu Bongo, Snura Mushi. Madai ya staa huyo kujifungua kwa siri yameenea na hata wasanii wenzake wanajua hivyo lakini mwenyewe amekuwa akikanusha na kuwaacha mashabiki wake njia panda.Akipiga stori na Ijumaa hivi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SNURA: SIACHIKI KWA DJ

Stori: Denis Mtima
MAMAA Majanga, Snura Mushi amekiri kutoka katika uvungu wa moyo wake kuwa amedhibitiwa vilivyo na penzi la jamaa anayetoka naye kwa sasa aitwaye DJ Hunter hivyo hawezi kuachika. Mamaa Majanga, Snura Mushi akijiachia kijanja na mpenzi wake DJ Hunter. Akipiga stori na mwandishi wetu,…

 

11 years ago

GPL

SNURA AWAPAGAWISHA MASHABIKI KWA MAUNO DAR LIVE

Mwanadada Snura Mushi 'Mamaa Majanga' usiku wa kuamkia leo amewapagawisha vilivyo mashabiki wa Dar Live baada ya kudondosha bonge la shoo sambamba na vijana wake.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...

 

11 years ago

Michuzi

Kufikia kikomo kwa Windows XP, nini athari zake kwa mtumiaji?


Mnamo tarehe 8/4/2014 kampuni ya utengenezaji wa mitambo endeshi ya kompyuta (Operating Systems) ya Microsoft ilisitisha utoaji wa huduma za muda mrefu kwa mitambo ya XP, ni moja ya mitambo endeshi inayotumika na watu wengi sana.Tangu kutoka kwa taarifa hizo, kumekuwa na maneno na mikanganyiko mingi mno kwa wateja hususan hapa Tanzania.
Kwakuwa ni mitambo inayotumika kwa weingi kwenye kompyuta nyingi zinazotumika kwenye mabenki na maofisini, hivyo watu walifika mbali hata kusema eti pesa...

 

10 years ago

Bongo5

Tumejifunza nini kwa mwamko huu tulioonesha kwa Idris na Happiness?

Diamond Platnumz, Idris Sultan na Happiness Watimanywa wamesaidia kuonesha wazi nguvu tuliyonayo Tanzania. Kutoka kwenye ushindi wa tuzo tatu za Channel O uliompa Diamond sifa nyingine kwenye CV yake hadi kwenye ushindi wa pili wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa uliompa utajiri wa zaidi ya shilingi milioni 514 mpiga picha Idris Sultan na […]

 

9 years ago

Global Publishers

Kwa nini usiwe mstahimilivu kwa mumeo hadi unachepuka?

sex-habits-of-super-happy-couplesKWANZA nianze kwa kuwasalimu wapenzi wasomaji wangu wa kona hii, assalamu alaykum na kwa wale wagonjwa ugueni pole na tuzidi kuombeana.

Baada ya kuwaeleza hayo, niingie moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo iliyobeba kichwa cha habari, kwa nini usiwe mstahimilivu kwa mumeo hadi unafikia hatua ya kuchepuka?

Siku hizi wanawake wengi walio ndani na nje ya ndoa wameyageuza mapenzi kama vile fasheni, wanaishi katika ndoa vizuri lakini mwenza wake akipata matatizo kidogo tu anaamua kuanzisha tabia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini ni muhimu kwa mwananchi kushiriki katika mchakato wa bajeti ya serikali?

Unafahamu nini kuhusu mchakato wa kutengeneza bajeti?

 

5 years ago

BBCSwahili

Taitizo la Android: Kwa nini picha hii ni hatari kwa simu yako?

Picha ya ardhi yenye mandhari ya kuvutia , ilio na ziwa huku jua likitua nyuma ya milima inaonekana nzuri kwa mtu kutumia katika simu yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani