Snura:Sitaki Unafiki
MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.
“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Mrema: Kura ya siri ni unafiki
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Vilio vya unafiki msibani
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Uongo, unafiki na uzandiki wa CCM
INASIKITISHA kuona kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamekuwa mstari wa mbele kuwadanganya wananchi kwamba uendeshaji wa serikali tatu ni ghali kuliko serikali mbili,...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Siasa imegeuzwa kuwa uongo na unafiki
WAKATI tunaadhimisha miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere, tunakumbuka miongozo mizuri aliyoacha moja ya muongozo huo alisema kwamba ili tuendelee tunahitaji mambo manne: Watu, Ardhi,...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Unafiki wa wanasiasa ni tatizo jingine nchini
MWANZONI mwa miaka ya sitini aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa letu, hayati Mwalimu Julius Nyerere, alitaja mambo matatu kuwa ni adui wa maendeleo. Aliwataja maadui...
10 years ago
Bongo Movies03 Apr
Wema Akataa Unafiki, Ampongeza Diamond
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza na kusema kuwa hata yeye anampa pongezi mpenzi wake wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa jitihada alizozifanya mpaka kufikia hatua ya kumaliza nyumba yake iliyopo Madale jijini Dar.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa, Wema alisema kuwa hata kama hawako pamoja lakini kama kuna kitu cha kumsifia kwa jambo zuri alilofanya hana sababu ya kukaa kimya na akinyamaza atakuwa mnafiki.
“Nikikaa kimya bila ya kumpongeza Chibu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZczXUIuTNiyZ*nqXiodVOXSzSsp*YLyDFZXmnq0GASQgel0tdR2u23RJBiIkqj2OZtE4iJRDQ-spuN64wn8-AMd/kajala.jpg)
WEMA AMLIPUA KAJALA, KISA UNAFIKI!
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Warioba ameukataa unafiki, CCM inaukumbatia
NINAKUMBUKA nilipokuwa mdogo kila tulipokuwa na mchezo wa kandanda na timu nyingine ya mtaani, uwe wa kugombea kikombe au wa kirafiki, tulikuwa tunalishana yamini (kula kiapo) kwa kila mmoja wetu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8YeQ90YImgDXFYLkcBlqo5Nxrldeqg24ML9iBaN*D6iXoo8Wl-IZBelIR6*lG3zAvX-bVT2uem6Zc3tQEP*l*4C/Wema.gif?width=650)
WEMA AKATAA UNAFIKI, AMPONGEZA CHIBU